Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye tiba za mitishamba nimekuelewa, na hizo tiba ili zwe tiba, lazima awepo mgonjwa wa kutibiwa
Dr, anafundisha njia za kuepuka kuugua kabisa endapo zikifuatwa, Wakati huohuo anatibu magonjwa!
Halafu njia zake kuzifuata ni ngumu balaa!
Naunga mkono Kwa dawa za tiba Africa Mungu katujalia, ni Nzuri kutumia na hazina madhara na huponyesha kweli, Mzungu hajawahi kutengeneza dawa za kuponyesha zaidi ya kutuliza maumivu na kuzalisha shida nyingine badaye huku akijali zaidi kuvuna pesa
Kwani ugali si nichakula cha mifugo. Ndio maana watu wa Bukoba wanatumia kwa dhiki tuDr kebby kumbe ni mjinga Sana. Yaani ugali maharage anasema vina sumu? Bora walimuua shwaini
Mkuu, hembu rudia tena Kwa sauti kubwa watu wasikie zaidi, naona kuna wengine wameskia sikio moja la kushoto bado halijasikia, Rudia tena mkuu tafadhariLimao au ndimu ndo mchawi wa magonjwa yote.
Thus wanakuhadaa eti linakausha mwili hii ni janja tu ya viwanda vya madawa.
Foolish ! Jitamkie wewe ni mjingaDr kebby kumbe ni mjinga Sana. Yaani ugali maharage anasema vina sumu? Bora walimuua shwaini
Mihogo na viazi vyote ni sumu msileDr kebby kumbe ni mjinga Sana. Yaani ugali maharage anasema vina sumu? Bora walimuua shwaini
Acid ndo Problem na sio alkaline! Wewe ndo hujaelewaMkuu umechapia. Problem huwa ni alkaline na siyo acid.
Point.Hawa watu weupe tuwaache tu. Wamefanya mzr mengi. Mojawapo ni matumizi ya simu za kiganjani ambazo zinakuwezesha wewe na Mimi tu-comment hapa.
Ili sisi tufanikiwe inatakiwa tujitambue, tuheshimu mafanikio yao na tuachane na visingizio kwamba sababu za sisi kuchemsha ni kwasababu ya mzungu.
Nyingi tu zinapigwa Vita Sana uwezi kuiolozeshaTuachane na hiyo dawa ya ukimwi, ni dawa gani aliyoiacha inayotibu maradhi ambao watu weusi mnajivunia?
Tatizo mkuu wazungu wametutwala vibaya sana kichwani na watatufanyia biashara kweli. Mtu kama Magufuli hawampendi kwelikweli.Nyingi tu zinapigwa Vita Sana uwezi kuiolozesha
Tena tunashukuru Sana Mh Raisi kwa kutambua swala hili la tiba asilia. Ni maono makubwa sana kwa uhai wa watu na Watanzania kwa ujumla maana tiba hii haina madhara kwa afya za binadamu Bali huujenga mwili na kuwa imara zaidi.Tatizo mkuu wazungu wametutwala vibaya sana kichwani na watatufanyia biashara kweli. Mtu kama Magufuli hawampendi kwelikweli.
Kwa mfano tu mdogo, kuna watu hapa nchini wanatibu sukari, Ukimwi na hata kansa lakini ukimwambia mtu hawezi kukuelewa hata chembe anakimbilia mionzi, ARV na vidonge vya sukari.
Tunajikaanga wenyewe kwa kuacha akili zetu zitawaliwe na wazungu
Safi Sana mkuu, Tena tunashukuru Sana Mh Raisi kwa kutambua swala hili la tiba asilia. Ni maono makubwa sana kwa uhai wa watu na Watanzania kwa ujumla maana tiba hii haina madhara kwa afya za binadamu Bali huujenga mwili na kuwa imara zaidi.Tatizo mkuu wazungu wametutwala vibaya sana kichwani na watatufanyia biashara kweli. Mtu kama Magufuli hawampendi kwelikweli.
Kwa mfano tu mdogo, kuna watu hapa nchini wanatibu sukari, Ukimwi na hata kansa lakini ukimwambia mtu hawezi kukuelewa hata chembe anakimbilia mionzi, ARV na vidonge vya sukari.
Tunajikaanga wenyewe kwa kuacha akili zetu zitawaliwe na wazungu