Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

Alishawahi kwenda Afrika Kusini na dawa ya UKIMWI pamoja na ushahidi wa vipimo vya H.I.V vya awali(POSITIVE) na vya baada mtu kupokea matibabu yake (NEGATIVE), Wakamkimbiza kama mwizi...

 
Dr kebby kumbe ni mjinga Sana. Yaani ugali maharage anasema vina sumu? Bora walimuua shwaini
 
mi nna miaka zaid ya 15 sasahivi sijawahi kuhis homa wala kikohozi wala hospitali nikienda ni kusalimia wagonjwa tuu.siri ni nini situmii dawa za joji bushi.yaani toka zamani bibi yangu alikuwa anatufkiza kila mwezi na kunywa mwa40.dawa zingine km aloevera(shubir)kikombe cha kahawa kila mwezi.sijawahi kumeza ht panado mi mashkuru nipo fit tuu.babu yangu amekufa na miaka91 huku akiacha mtoto ambae ni mdogo kwangu!!mzee ana miaka 80 lakini alipiga mimba.
 

It's all about not only making money but larger sums of money !!!
 

Attachments

Dr kebby kumbe ni mjinga Sana. Yaani ugali maharage anasema vina sumu? Bora walimuua shwaini
Kwani ugali si nichakula cha mifugo. Ndio maana watu wa Bukoba wanatumia kwa dhiki tu
 
Limao au ndimu ndo mchawi wa magonjwa yote.
Thus wanakuhadaa eti linakausha mwili hii ni janja tu ya viwanda vya madawa.
Mkuu, hembu rudia tena Kwa sauti kubwa watu wasikie zaidi, naona kuna wengine wameskia sikio moja la kushoto bado halijasikia, Rudia tena mkuu tafadhari

Unasema Limao au ndimu zina nini????
 
Huyu mzee waliamua kumpoteza makusudi mabeberu waliogopa kula hasara za magonjwa wanayo tutengenezea laboratory wata yapeleka wapi na dawa zao za kutuliza na sio kutibu watauzia nani
 
Point.

Wakati wengine wanaamini kuwa mzungu anaturudisha nyuma basi na wengine wanaamini kuwa maendeleo ya mzungu ya
 
Nyingi tu zinapigwa Vita Sana uwezi kuiolozesha
Tatizo mkuu wazungu wametutwala vibaya sana kichwani na watatufanyia biashara kweli. Mtu kama Magufuli hawampendi kwelikweli.

Kwa mfano tu mdogo, kuna watu hapa nchini wanatibu sukari, Ukimwi na hata kansa lakini ukimwambia mtu hawezi kukuelewa hata chembe anakimbilia mionzi, ARV na vidonge vya sukari.

Tunajikaanga wenyewe kwa kuacha akili zetu zitawaliwe na wazungu
 
Waafrica kila mda unaweza kudhan tupo kwenye reality show! Nikikumbuka ugunduzi wa dawa ya CORONA Madagascar na mazingaombwe yake kwamba wazungu hawataki wauze,na vifo vilivyofwatia baada ya kujiaminisha dawa yao inatibu,nimegundua kweli sayansi haihitaji propaganda wala siasa 😁 😁 😁 😁
 
Tena tunashukuru Sana Mh Raisi kwa kutambua swala hili la tiba asilia. Ni maono makubwa sana kwa uhai wa watu na Watanzania kwa ujumla maana tiba hii haina madhara kwa afya za binadamu Bali huujenga mwili na kuwa imara zaidi.

Nashauri kianzishwe kitengo maalumu, kifanye majaribio kwa Magonjwa yanayosumbua Kama vile cancer na kisukari kwa wagonjwa wachache kwa kufuata mwongozo wa Dr sebi. Endapo tiba hiyo itawatibu wagonjwa hao, Basi kitengo hicho kitambuliwe na wizara husika then kitaleta mapato kwa serikali na kusaidia wengi.
 
Safi Sana mkuu, Tena tunashukuru Sana Mh Raisi kwa kutambua swala hili la tiba asilia. Ni maono makubwa sana kwa uhai wa watu na Watanzania kwa ujumla maana tiba hii haina madhara kwa afya za binadamu Bali huujenga mwili na kuwa imara zaidi.

Nashauri kianzishwe kitengo maalumu, kifanye majaribio kwa Magonjwa yanayosumbua Kama vile cancer UKIMWI na kisukari kwa wagonjwa wachache kwa kufuata mwongozo wa Dr sebi. Endapo tiba hiyo itawatibu wagonjwa hao, Basi kitengo hicho kitambuliwe na wizara husika then kitaleta mapato kwa serikali na kusaidia wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…