Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Kuna watu wanaitwa ni wamwaga sumu. Niliwahi kutoa angalizo kuhusu mmwaga sumu huyu, sasa ndio yumo serikali, hivyo kufikia 2025, kama hatadhibitiwa kabla, uchaguzi wa 2025 Zanzibar kuna kazi!.
P
Wewe lazima kuna kitu wamekufa nya Wazanzibar lakini hukitaki kukisema Kwa maana si Kwa chuki hizo zidi yetu utagiti unasema Wasukuma huwa mara nying Wana roho mbaya kupitia wewe tunauthibitisha uhakika WA utafiti huu

Hata hivyo viongozi WA mfano wako (Mungu atuepushie nao) ungelikua madarakani Muungano huu ungekua tayari umevunjikia na Kwa taarifa yako usituchukule poa Wazanzibar katika issue hii Sisi tunasimama pamoja chungza utaona hilo na SASA Sisi tumeungani kupitia SUK NAFIKIR unaumia Sana MAYALA na ujuw safari hii Serikali hii hamuivunji but mtavunjika nyinyi
 
Wasukuma huwa mara nying Wana roho mbaya kupitia wewe tunauthibitisha uhakika WA utafiti huu

Kwa taarifa yako usituchukule poa Wazanzibar katika issue hii Sisi tunasimama pamoja chungza utaona hilo na SASA Sisi tumeungani kupitia SUK NAFIKIR MAYALA na ujuw safari hii Serikali hii hamuivunji but mtavunjika nyinyi
Duh...!, Mkuu dega , please tuache ukabila, naomba tusilete hoja za ukabila kwenye kila kitu, what has Wasukuma got to do na hoja za bandiko hili?.
Hoja ya Wasukuma kuwa na roho mbaya ni hoja muflis, watu wanaowajua Wasukuma wenyewe halisi ni watu poa sana na tuna roho nzuri sana, tatizo kwenye kabla la Wasukuma, kuna watu wa makabila mengine, tena wengine ni kutoka nchi jirani, wame settle Usukumani, wakalowea Usukumani, wakaoa Wasukuma, vitoto vikazaliwa Usukumani ni Wasukuma ila wana roho mbaya za asili za wazazi wao ambao sio Wasukuma.

Kwa taarifa tuu, huko kwenu Zanzibar, Wasukuma wapo sana tena ni madume ya mbegu, mimi mwenyewe nawapenda sana Wazanzibari tena almanusura nibadili dini kwasababu tuu ya ...
tuyaache, ila kwa kifupi tunawapenda sana na ndio maana kamwe hatuwaachi!.
Huu Muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote, hata ikibidi kuigharimikia kwa machozi, jasho na damu, gharama hizo tutazilipia.

Muungano huu tume zote zilizoundwa zimeulalamikia utata wake mwisho hii ya Warioba mtakapokataa mawazo ya wengi hasara itakuwa kubwa
Musione kile mkionacho nyinyi Tu ndio sahihi
Fatilia maoni ya Wazanzibar kwa Kamati ya Warioba hili wimbi sirahisi kama mdhaniavyo kawaida maji ukiyazuia katika njia ya kawaida yanatafuta njia yake na mara nyingi inakua ni yenye kuleta maafa
 
Wanabodi,

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na majaaliwa ya kupitishwa kwa hii "Bora Katiba" kwa upande wa Zanzibar, hii ni kufuatia Mwanasheria huyo, kujitia kimbelembele kutetea hoja ya serikali tatu, inayolinda maslahi ya Zanzibar kwa mujibu wa mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, ambayo yameitambua rasmi Zanzibar kama ni nchi, na kulimega eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinyemela na kuliita ni mipaka ya nchi ya Zanzibar kinyume kabisa cha katiba ya JMT ambayo inaitambua Zanzibar kama sii nchi, bali ni sehemu ya JMT, nchi ni Tanzania Pekee!.

Namshauri, rais Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, amfute kazi mara moja, Mwanasheria Mkuu huyu, akaungane rasmi na kile chama cha kutetea serikali, tatu zinazotaka kutuvunjia huu muungano wetu adhimu!.

Kwa msiozijua hoja za sumu kwa serikali mbili, za Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar,

Msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali

Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la kushauri kufutwa kazi mara moja, na kweli alifutwa kazi mara moja

Kwahiyo huyu ndo raisi ajaye wa zenji?
 
Wanabodi,

Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili.

Mmoja wa watu hawa ni Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na majaaliwa ya kupitishwa kwa hii "Bora Katiba" kwa upande wa Zanzibar, hii ni kufuatia Mwanasheria huyo, kujitia kimbelembele kutetea hoja ya serikali tatu, inayolinda maslahi ya Zanzibar kwa mujibu wa mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, ambayo yameitambua rasmi Zanzibar kama ni nchi, na kulimega eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinyemela na kuliita ni mipaka ya nchi ya Zanzibar kinyume kabisa cha katiba ya JMT ambayo inaitambua Zanzibar kama sii nchi, bali ni sehemu ya JMT, nchi ni Tanzania Pekee!.

Kwanza mwanasheria huyo, alipeleka hoja 17 za kuutetea ule upuuzi wa ile haramu iliyofanywa na marekebisho ya katiba ya Zanzibar, kuiita Zanzibar ni nchi, kitu ambacho kwa mujibu wa katiba katiba ya JMT ya mwaka 1977, ni haramu. Kisha huyu jamaa akataka hiyo haramu kuigeuza halali, kwa kuilazimishia kwenye katiba mpya!, wajumbe makini wa kamati ya uandishi wa katiba wakiongozwa na mmoja wa viongozi waadilifu sana nchini, ambaye watu wenye husuda, wanamuonea tuu kijicho na wivu dhidi tujisenti twake, Mheshimiwa sana, Shujaa, Mtemi Chenge!, wakavitupilia mbali hivyo vipengele 17 haramu ndani ya katiba ya Zanzibar, visiingizwe kwenye rasimu ya katiba mpya!. Mwanasheria huyo hatari, aliyetaka kuvichomekea, ili kuigeuza haramu hiyo kuwa halali!, alikasirika sana baada ya kugonga mwamba.

Baada ya hilo kushindikana, kwanza akajitoa kwenye kamati ya uandishi wa katiba, akabakia Dodoma akiranda randa tuu!, ulipofika wakati wa kupiga kura!, kwanza alisusa kupiga kura ile siku ya kwanza ili hali yuko Dodoma, siku ya pili pia akasusa!, ila kabla ya upigaji kura kufungwa rasmi, sijui shetani gani, akamtembelea, mara akaingia bungeni mbio mbio na kuomba kupiga kura ya wazi!, Muungwana Sitta, akamkubalia!, ningekuwa mimi, kamwe nisingemkubalia!.

Na baada ya kukubaliwa, si ni ndio akafanya kituko kile cha kupiga kura ya hapana iliyohatarisha kupatikana kwa katiba yetu tuipendayo!, yaani just imagine, ungekuwa sio ule utaratibu wa "zisipo tosha zinatosheshwa!", hali ingekuwaje na watu hatari kama hawa mpaka sasa, wameachwa tuu hivi hivi?!.

Kama Hamid ambaye ni shemeji kabisa wa Rais Karume, alifutwa kazi mara moja, na kutimuliwa kama mwizi toka ndani ya tukipendacho, Chama chetu cha Mapinduzi!, sasa huyu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, yeye ni nani haswa, mpaka saa hii yuko kazini?!.

Kwa kadri anayoendelea kubaki kazini, ndio alivyo na chances kubwa zaidi kumwaga sumu kama hii, dhidi ya hii katiba mpya tuipendayo!, namshauri, rais Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, amfute kazi mara moja, Mwanasheria Mkuu huyu, akaungane rasmi na kile chama cha kutetea serikali, tatu zinazotaka kutuvunjia huu muungano wetu adhimu!.

Kwa msiozijua hoja za sumu kwa serikali mbili, za Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar,

Msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali

Huyu bado anaendelea kuchafua hali ya hewa. Hakuna siku aliyofungua domo lake akaacha kulaumu chochote, hasa Tanganyika.
 
Mkuu field marshall1 , sisi wana if responsible tuna wajibu wa kutumia lugha za heshima na staha kwa viongozi wetu, huyu ni Makamo wa Kwanza wa rais, huwezi kutumia neno "domo lake"!.
P
 
Wanabodi,
Namshauri, rais Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, amfute kazi mara moja, Mwanasheria Mkuu huyu, akaungane rasmi na kile chama cha kutetea serikali, tatu zinazotaka kutuvunjia huu muungano wetu adhimu!.

Kwa msiozijua hoja za sumu kwa serikali mbili, za Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar,

Msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali

Wanabodi,
Huko nyuma niliwa kumshauri rais wa Zanzibar, Dr. Shein, amfte kazi mara moja mtu huyu kabla hajaeneza sumu hii, Dr. Shein aliitikia wito huo na akamfuta kazi!.

Sasa natoa tena wito kama huu, kwa rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Hussen Mwinyi, afute kazi haraka mtu huyu, kabla hajaendelea kumwaga sumu kuhusu huu Muungano wetu adhimu.
Msikilize hapa
Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake.
Msikilize Othman Masoud hapa chini.

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!.

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

P
 
Wanabodi,

Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili.

Mmoja wa watu hawa ni Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali na majaaliwa ya kupitishwa kwa hii "Bora Katiba" kwa upande wa Zanzibar, hii ni kufuatia Mwanasheria huyo, kutetea hoja ya serikali tatu, inayolinda maslahi ya Zanzibar kwa mujibu wa mabadiliko halali ya kumi ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, ambayo ni haramu na kinyume cha katiba ya muungano, ambayo yameitambua rasmi Zanzibar kama ni nchi, na kulimega eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinyemela na kuliita ni mipaka ya nchi ya Zanzibar kinyume kabisa cha katiba ya JMT ambayo inaitambua Zanzibar kama sii nchi, bali ni sehemu ya JMT, nchi ni Tanzania Pekee!.

Kwanza mwanasheria huyo, alipeleka hoja 17 za kuutetea ile haramu iliyofanywa na marekebisho ya katiba ya Zanzibar, kuiita Zanzibar ni nchi, kitu ambacho kwa mujibu wa katiba katiba ya JMT ya mwaka 1977, ni haramu. Kisha huyu jamaa akataka hiyo haramu kuigeuza halali, kwa kuilazimishia kwenye katiba mpya!, wajumbe makini wa kamati ya uandishi wa katiba wakiongozwa na mmoja wa viongozi waadilifu sana nchini, ambaye watu wenye husuda, wanamuonea tuu kijicho na wivu dhidi tujisenti twake, Mheshimiwa sana, Shujaa, Mtemi Chenge!, wakavitupilia mbali hivyo vipengele 17 haramu ndani ya katiba ya Zanzibar, visiingizwe kwenye rasimu ya katiba mpya!. Mwanasheria huyo hatari, aliyetaka kuvichomekea, ili kuigeuza haramu hiyo kuwa halali!, alikasirika sana baada ya kugonga mwamba.

Baada ya hilo kushindikana, kwanza akajitoa kwenye kamati ya uandishi wa katiba, akabakia Dodoma akiranda randa tuu!, ulipofika wakati wa kupiga kura!, kwanza alisusa kupiga kura ile siku ya kwanza ili hali yuko Dodoma, siku ya pili pia akasusa!, ila kabla ya upigaji kura kufungwa rasmi, sijui shetani gani, akamtembelea, mara akaingia bungeni mbio mbio na kuomba kupiga kura ya wazi!, Muungwana Sitta, akamkubalia!, ningekuwa mimi, kamwe nisingemkubalia!.

Na baada ya kukubaliwa, si ni ndio akafanya kituko kile cha kupiga kura ya hapana iliyohatarisha kupatikana kwa katiba yetu tuipendayo!, yaani just imagine, ungekuwa sio ule utaratibu wa "zisipo tosha zinatosheshwa!", hali ingekuwaje na watu hatari kama hawa mpaka sasa, wameachwa tuu hivi hivi?!.

Kama Hamid ambaye ni shemeji kabisa wa Rais Karume, alifutwa kazi mara moja, na kutimuliwa kama mwizi toka ndani ya tukipendacho, Chama chetu cha Mapinduzi!, sasa huyu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, yeye ni nani haswa, mpaka saa hii yuko kazini?!.

Kwa kadri anayoendelea kubaki kazini, ndio alivyo na chances kubwa zaidi kumwaga sumu kama hii, dhidi ya hii katiba mpya tuipendayo!, namshauri, rais Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, amfute kazi mara moja, Mwanasheria Mkuu huyu, akaungane rasmi na kile chama cha kutetea serikali, tatu zinazotaka kutuvunjia huu muungano wetu adhimu!.

Kwa msiozijua hoja za sumu kwa serikali mbili, za Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar,

Msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali
Una wito sana wa kuwachomea watu nguru. Una roho mbaya kama yule dhalim mwendazake.
 
Kumbe ulianza naye mbali kutopenda maoni yake..!!
 
namshauri, rais Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, amfute kazi mara moja, Mwanasheria Mkuu huyu, akaungane rasmi na kile chama cha kutetea serikali, tatu zinazotaka kutuvunjia huu muungano wetu adhimu!.

Kwa msiozijua hoja za sumu kwa serikali mbili, za Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar,

Msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali

Nafanya mapitio ya kauli umba zilizokuja kutimia
P
 
Una wito sana wa kuwachomea watu nguru. Una roho mbaya kama yule dhalim mwendazake.
Mkuu SAGAI GALGANO, kiukweli mimi nina tatizo la kuwa mkweli too much!. Pitia bandiko hili, uone ni nani ninayemtabiria kuwa rais wa Zanzibar, 2025!.
hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!.
P
 
Wanabodi,
Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar, hebu msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali

OMO ndie mgombea urais wa Zanzibar 2025 kupitia tiketi ya ACT, kwa hoja kama hizi, hiki kikiwa ndicho Zanzibar wakitakacho, nimeshauri na naendelea kushauri kuundwa tume ya maridhiano Zanzibar kabla ya uchaguzi ili huyu jamaa akishinda atangazwe, lakini isipoundwa, ikatokea huyu jamaa ndie kashinda, itabidi tufunike tena kombe kama 2015 maana JMT haiwezi kukubali watu ma radical kama huyu kukabidhiwa nchi, akikabidhiwa leo, kesho yake tuu atauvunja huu wetu adhimu na adimu!
Ushauri wangu ni huu
Mwenzenu mimi nina jicho la tatu, 2015 nilishauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia, kilichokuja kutokea ni hiki Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Sasa kwa 2025 nimeelezwa HII kitu!
P
 
Back
Top Bottom