simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Maombi yako yametimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapaswa kujihakiki kama upo sawa maake you are very wrong na pasco yupo sahihi hili ni jukwaa la siasa tafuta unapopapenda sio unakuja kwenye jukwaa usilolipenda afu Id yako na ulichoandika havifanani as if kuna mtu alikusajilia account ya Jf bwanaall thngs talk abt politics jaribu kupost vitu ambyvo vinamake sound i hate politics
Usitake kuzungumzia usiyojajua. Ni bora kukaa kimya. Otherwise, utaonekana kama kasuku vile.
Labda nikufahamishe tuu ni kuwa a trailer is an advertisement consisting of short scenes from a motion picture that will appear in the near future.
So, in future don't guess movie itakuwaje kama hata trailer hajaangalia.
Aiseee, uwazi wako hapo kwenye RED umenifurahisha sana, nashukuru kwa kuwa muwazi kuhusu mbinu zenu!ungekuwa sio ule utaratibu wa "zisipo tosha zinatosheshwa!", hali ingekuwaje...
Huwa Nasema Hapa Kila Siku Pasco Ni Mtu Mwenye Wadhifa Mkubwa Kama Si Waziri Wa Wizara Nyeti, Basi Ni !!! Mtu Mkubwa Sana Serikarini/usalama Wa Taifa, Nimekuwa Makini Sana Nikifatilia Post Zake Hapa Kila Siku, Kama Huamini Mfuatilie Kwenye Jukwaa Hili Utaamini, Usishangazwe Na Id Anayotumia
Dr. Shein na Mwanasheria mkuu ni kitu kimoja, support kubwa wanapata toka kwa maalim seif na Karume. Anachokifanya Mwanasheria mkuu kina baraka zote toka ikulu ya znz.
Kuna taarifa chini ya kapeti kuwa, huenda Dr. Shein asipewe kipindi cha pli cha uongozi kwa kuruhusu haya yaliyotokea.