Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Mkuu Pasco yamekwisha kutimia. Jamaa amekwisha kufutwa kazi. Ulikuwa una fununu kabla, au Shein amefuata ushauri wako?
 
Pasco wamekusikia na wameyafanyia mawazo yako kazi.
 
Last edited by a moderator:
all thngs talk abt politics jaribu kupost vitu ambyvo vinamake sound i hate politics
 
Mh! Kumbe rais ajae wa JMT ni Dr. Shein?
Haiwezekani uyaseme leo na leo leo O. Masoud afukuzwe kazi?
mlishayajenda ndani na istoshe habari hizi mnazo tangu jana
 
Dr. Shein na Mwanasheria mkuu ni kitu kimoja, support kubwa wanapata toka kwa maalim seif na Karume. Anachokifanya Mwanasheria mkuu kina baraka zote toka ikulu ya znz.

Kuna taarifa chini ya kapeti kuwa, huenda Dr. Shein asipewe kipindi cha pli cha uongozi kwa kuruhusu haya yaliyotokea.

Pole ukujua ulisemalo
 
Good post! Una uma na kupuliza. Ilo jambo lilikuwa wazi..magamba yasingepokeleana hapo dodoma jamaa akiwa bado amekikalia kiti hicho. Hata hivyo wamejipalia mkaaaaa.....gumuzo hapo dodoma halitakuwa katiba 'pendekezwa' bali 'mfukuzwa kazi'.
Magamba janga la taifa ili!
 
wakimfuta leo, kesho yake utamsikia amekuwa kiongozi fulani chama cha upinzani na watakoma. hawawezi kufanya hilo kosa, litakuwa kosa kubwa sana litakalowagarimu. yeye ameshachukua credit mbele za watu na hakuna wa kumuadibisha.

Pasco alijua nini anasema na mmeshuhudia.Hiyo sentensi yako ya Hawawezi imeshindwa
 
Last edited by a moderator:
Dr. Shein na Mwanasheria mkuu ni kitu kimoja, support kubwa wanapata toka kwa maalim seif na Karume. Anachokifanya Mwanasheria mkuu kina baraka zote toka ikulu ya znz.

Kuna taarifa chini ya kapeti kuwa, huenda Dr. Shein asipewe kipindi cha pli cha uongozi kwa kuruhusu haya yaliyotokea.

Wewe kazi yako ni kutumika mema ya nchi unayasoma jamiiforums tu wanaokula wengine punguani mkubwa.

Eti unajifanya na wewe una taharifa za ndani.
 
Huwa Nasema Hapa Kila Siku Pasco Ni Mtu Mwenye Wadhifa Mkubwa Kama Si Waziri Wa Wizara Nyeti, Basi Ni !!! Mtu Mkubwa Sana Serikarini/usalama Wa Taifa, Nimekuwa Makini Sana Nikifatilia Post Zake Hapa Kila Siku, Kama Huamini Mfuatilie Kwenye Jukwaa Hili Utaamini, Usishangazwe Na Id Anayotumia
 
Dr. Shein na Mwanasheria mkuu ni kitu kimoja, support kubwa wanapata toka kwa maalim seif na Karume. Anachokifanya Mwanasheria mkuu kina baraka zote toka ikulu ya znz.

Usitake kuzungumzia usiyojajua. Ni bora kukaa kimya. Otherwise, utaonekana kama kasuku vile.

Labda nikufahamishe tuu ni kuwa a trailer is an advertisement consisting of short scenes from a motion picture that will appear in the near future.

So, in future don't guess movie itakuwaje kama hata trailer hajaangalia.
 
Huwa Nasema Hapa Kila Siku Pasco Ni Mtu Mwenye Wadhifa Mkubwa Kama Si Waziri Wa Wizara Nyeti, Basi Ni !!! Mtu Mkubwa Sana Serikarini/usalama Wa Taifa, Nimekuwa Makini Sana Nikifatilia Post Zake Hapa Kila Siku, Kama Huamini Mfuatilie Kwenye Jukwaa Hili Utaamini, Usishangazwe Na Id Anayotumia

Pasco yumo kwenye system
 
Your wish has been granted Pasco

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi,Dr Ali Mohamed Shein,Leo amemfuta kazi mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman na nafasi yake kuchukuliwa na Said Hassan Said.

Rais Shein amefanya uteuzi huo wa mwanasheria mkuu wa Zanzibar,kwa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha katiba ya zanzibar ya 1984.

Kabla ya uteuzi huu Mhe.Said Hassan Said alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu
 
Pasco Huyu othman ni moja kati ya wanafunzi makini sana pale UDSM .alikua mahiri sana sana.
anaongea kama responsible person ambae ana jukumu la kuishauri serikali ya SMZ katika suala hili la katiba. anayo engea ni kwa maslahi ua znz.
I really like this guy.Amefukuzwa kazi but msimamo wake wa kuitetea znz ndani ya jinamizi la muungano utamfanya kuwa mmoja ya wazalendo wachache wa znz.
huyu ni asset kwa znz na hata future Tanzania ambayo itakua kama alivosema ya kuheshimiana na kutakiana mema.
tuombe tu asijekufikishwa kama kina farid kuzingiziwa...kwani moja ya kero za muungano kwa upande wa znz ni kuwaangamiza wale wote wanaukandia muungano upande wa znz.( tofauti na upande wa pili ukirejea Mtikila na msimamo wake). Wengi kutoka znz wamepotea au kunyamazishwa kuanzi April 64
 
Last edited by a moderator:
Huwa Nasema Hapa Kila Siku Pasco Ni Mtu Mwenye Wadhifa Mkubwa Kama Si Waziri Wa Wizara Nyeti, Basi Ni !!! Mtu Mkubwa Sana Serikarini/usalama Wa Taifa, Nimekuwa Makini Sana Nikifatilia Post Zake Hapa Kila Siku, Kama Huamini Mfuatilie Kwenye Jukwaa Hili Utaamini, Usishangazwe Na Id Anayotumia

Halafu huyu Pasco unahitaji akili kubwa na jicho la tatu kumuelewa vema posts zake. Huwa anaeleza kitu kwa namna ya mwisho mwanzo na kati wakati mwingine anaeleza kinyumenyume.
 
Li Pasco limempa maelekezo Shein na akayafuata. Kumbe li raia la bara linaweza kumdictate mkuu wa mikoa (sijui ni mitano au 6!!!!) ya zanzibari
 
Back
Top Bottom