Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Kuna watu wanaitwa ni wamwaga sumu. Niliwahi kutoa angalizo kuhusu mmwaga sumu huyu, sasa ndio yumo serikali, hivyo kufikia 2025, kama hatadhibitiwa kabla, uchaguzi wa 2025 Zanzibar kuna kazi!.
P
Wewe lazima kuna kitu wamekufa nya Wazanzibar lakini hukitaki kukisema Kwa maana si Kwa chuki hizo zidi yetu utagiti unasema Wasukuma huwa mara nying Wana roho mbaya kupitia wewe tunauthibitisha uhakika WA utafiti huu

Hata hivyo viongozi WA mfano wako (Mungu atuepushie nao) ungelikua madarakani Muungano huu ungekua tayari umevunjikia na Kwa taarifa yako usituchukule poa Wazanzibar katika issue hii Sisi tunasimama pamoja chungza utaona hilo na SASA Sisi tumeungani kupitia SUK NAFIKIR unaumia Sana MAYALA na ujuw safari hii Serikali hii hamuivunji but mtavunjika nyinyi
 
Duh...!, Mkuu dega , please tuache ukabila, naomba tusilete hoja za ukabila kwenye kila kitu, what has Wasukuma got to do na hoja za bandiko hili?.
Hoja ya Wasukuma kuwa na roho mbaya ni hoja muflis, watu wanaowajua Wasukuma wenyewe halisi ni watu poa sana na tuna roho nzuri sana, tatizo kwenye kabla la Wasukuma, kuna watu wa makabila mengine, tena wengine ni kutoka nchi jirani, wame settle Usukumani, wakalowea Usukumani, wakaoa Wasukuma, vitoto vikazaliwa Usukumani ni Wasukuma ila wana roho mbaya za asili za wazazi wao ambao sio Wasukuma.

Kwa taarifa tuu, huko kwenu Zanzibar, Wasukuma wapo sana tena ni madume ya mbegu, mimi mwenyewe nawapenda sana Wazanzibari tena almanusura nibadili dini kwasababu tuu ya ...
tuyaache, ila kwa kifupi tunawapenda sana na ndio maana kamwe hatuwaachi!.
Huu Muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote, hata ikibidi kuigharimikia kwa machozi, jasho na damu, gharama hizo tutazilipia.
P
 
Muungano huu tume zote zilizoundwa zimeulalamikia utata wake mwisho hii ya Warioba mtakapokataa mawazo ya wengi hasara itakuwa kubwa
Musione kile mkionacho nyinyi Tu ndio sahihi
Fatilia maoni ya Wazanzibar kwa Kamati ya Warioba hili wimbi sirahisi kama mdhaniavyo kawaida maji ukiyazuia katika njia ya kawaida yanatafuta njia yake na mara nyingi inakua ni yenye kuleta maafa
 
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la kushauri kufutwa kazi mara moja, na kweli alifutwa kazi mara moja

P
 
Kwahiyo huyu ndo raisi ajaye wa zenji?
 
Huyu bado anaendelea kuchafua hali ya hewa. Hakuna siku aliyofungua domo lake akaacha kulaumu chochote, hasa Tanganyika.
 
Huyu bado anaendelea kuchafua hali ya hewa. Hakuna siku aliyofungua domo lake akaacha kulaumu chochote, hasa Tanganyika.
Mkuu field marshall1 , sisi wana if responsible tuna wajibu wa kutumia lugha za heshima na staha kwa viongozi wetu, huyu ni Makamo wa Kwanza wa rais, huwezi kutumia neno "domo lake"!.
P
 
Wanabodi,
Huko nyuma niliwa kumshauri rais wa Zanzibar, Dr. Shein, amfte kazi mara moja mtu huyu kabla hajaeneza sumu hii, Dr. Shein aliitikia wito huo na akamfuta kazi!.

Sasa natoa tena wito kama huu, kwa rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Hussen Mwinyi, afute kazi haraka mtu huyu, kabla hajaendelea kumwaga sumu kuhusu huu Muungano wetu adhimu.
Msikilize hapa
Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake.
Msikilize Othman Masoud hapa chini.
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!.

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

P
 
Una wito sana wa kuwachomea watu nguru. Una roho mbaya kama yule dhalim mwendazake.
 
Kumbe ulianza naye mbali kutopenda maoni yake..!!
 
Nafanya mapitio ya kauli umba zilizokuja kutimia
P
 
Una wito sana wa kuwachomea watu nguru. Una roho mbaya kama yule dhalim mwendazake.
Mkuu SAGAI GALGANO, kiukweli mimi nina tatizo la kuwa mkweli too much!. Pitia bandiko hili, uone ni nani ninayemtabiria kuwa rais wa Zanzibar, 2025!.
P
 
Wanabodi,
Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar, hebu msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali
OMO ndie mgombea urais wa Zanzibar 2025 kupitia tiketi ya ACT, kwa hoja kama hizi, hiki kikiwa ndicho Zanzibar wakitakacho, nimeshauri na naendelea kushauri kuundwa tume ya maridhiano Zanzibar kabla ya uchaguzi ili huyu jamaa akishinda atangazwe, lakini isipoundwa, ikatokea huyu jamaa ndie kashinda, itabidi tufunike tena kombe kama 2015 maana JMT haiwezi kukubali watu ma radical kama huyu kukabidhiwa nchi, akikabidhiwa leo, kesho yake tuu atauvunja huu wetu adhimu na adimu!
Ushauri wangu ni huu
Mwenzenu mimi nina jicho la tatu, 2015 nilishauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia, kilichokuja kutokea ni hiki Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Sasa kwa 2025 nimeelezwa HII kitu!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…