Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Umesikiza hiyo video ya interview yake? troublemakerKwani pesa zake bado hazijafika?
Yeah, ni kweli kwenye maisha kuna milima na mabondeNdio maisha haya, asikate tamaa.
Mb zangu hazitoshi mkuu. Kwani kasemaje kwa ufupi?Umesikiza hiyo video ya interview yake? troublemaker
sio Urusi tena, imekuwa Uswiss'MIA TISA ITAPENDEZA' SASA AGEUKA KUWA 'CHOKORAA' : Dokta Luois Shika maarufu hapa nchini kwa Jina la '900 Itapendeza' alipozungumza kwa uchungu na huzuni kuhusu maisha anayoishi sasa.
Dokta Shika alijizolewa umaarufu mkubwa lakini katika maisha yake binafsi amekuwa na panda shuka nyingi huku mwenyewe akiendelea kujipa matumaini siku moja atapata Mabilioni yake anayodai yapo Nchini Uswiss.
Taarifa zilizozagaa kwa sasa hana pakulala na analala kituo cha Basi mfano wa Kalubandika.
Cheki video yake ya mahojiano hapa chini
https://www.facebook.com/video.php?v=534463020676905
Haha mda wa uchaguzi umefika naona sasa anaibuliwa
Yeah huwa anashinda pale kituo cha gari za posta!Daah nilimkuta juzi kati posta anasinzia stand ya basi.
Maisha yanaenda kasi sanaaa, si juzi tu mzee alikula zali la kutangaza tangazo la betting?
Wanjiru! Is this all you can help Dr. Shika! Is Dr. Shika the only homeless person in Tanzania? What's strange being homeless! Instead of giving him a helping hand you curse him! Dr. Shika needs privacy and help if it is true of what you have written.Yule Bilionea wa 900 inatosha hana pakulala,bado anasubiri hela zake kutoka Russia.
View attachment 1249628