Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi


Wanjiru sio The Daily News lakini.
 
Kwa uzoefu wangu Ni kwamba,wasomi wengi nchi hii madishi yakianza kucheza huwa lazima waanze habari za kujinasibisha na UN.

Atakuambia alikuwa coordinator wa UN somewhere na vitu kama hivyo.

Ni suala la muda,mtaanza kumuona kwenye majalala.
Utasikia oo mi nilikua flani ha ha ha ha ulivyokua flani ulifanya nini huyu jamaa kama alikua bilionea kweli kwanini hakujenga tanzania au kuwakumbuka ndugu zake ambao wange msitili saizi. Inaonekana alikua na nyodo sana
 
Waandishi wanapaswa kutilia maanani kitu wanaita "ethical consideration." Na hili Daily News, kama waandishi wa habari, wanalijua.
Kama wanalijua mbona hawakulifuata? Siyo lazima kila kitu kukiandika, mwandishi angeweza kutoa taarifa kwa wahusika ili wamsaidie.
 
Bongo hua mnashabikia ujinga, Shika hana hela alikua anawadanganya tu, website aliyotoa imetengenezwa for free kutumia templates za kijinga online, yaani aliyetengeneza ilimchukua kama nusu saa tu, kupata .ru russian domain ni rahisi mtu yeyote anaweza pata unalipia online hata $5. Mzee maskini, kashika watanzania vilaza, mnampa promo za kijinga tu. Akapimwe akili sio mnakaa mnamchekea mgonjwa. $50Billion mnazijua kweli? that scumbag hana hata elfu kumi.

Alafu ona jamaa walivyo na vitambi, watanzania em fanyeni mazoezi seriously acheni ujinga, mnakula sana ugali na chips mayai, afya za ovyo.
 
It's a pity,this guy should be in a "loony" somewhere not in the streets.Hivi alikuwa anafundisha nini cha kuweza kukusanya dola mil 18?????????
 
Kama wanalijua mbona hawakulifuata? Siyo lazima kila kitu kukiandika, mwandishi angeweza kutoa taarifa kwa wahusika ili wamsaidie.
Ukiiangalia hii habari ina maswala mawili tofauti yenye malengo mawili tofauti pia. Moja: Kumsaidia Dk. Shika kwa lengo la kumkwamua kimaisha. Pili: Daiy News walitaka kupata wasomaji kwa lengo la kuongeza mapato. Haya yote wamefanya kwa kuzingatia miiko ya taaluma.
 
Mku kwani hao watoto wake 6 wameshindwa kumpa Baba yao Laki Tano kweli? Watoto wa Dr? Tena aliesomea Urusi wala sio shule za kayumba?
 
Jana nilimsikiliza akihojiwavna na AZaM kuwa anashida ya Dolla 200 ili apate hzo pesa zake kutoka Russia Sasa najiuliza huyu ni billionare gani huyu ambaye hana pesa
 
Kwani wewe ukisikia UN unafikiria muujiza gani? Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Katibu Mkuu wa UN amesema kuwa UN inaweza kushindwa mishahara ya wafanyakazi wake ifikapo Jan 2020. Sasa wewe unataka mfanyakazi wa UN asaidie vipi nchi yake ama ndugu zake? Kwa taarifa yako wafanyakazi wa UN wanawajibika kwa UN na wala si kwa nchi zao.
Utasikia oo mi nilikua flani ha ha ha ha ulivyokua flani ulifanya nini huyu jamaa kama alikua bilionea kweli kwanini hakujenga tanzania au kuwakumbuka ndugu zake ambao wange msitili saizi. Inaonekana alikua na nyodo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…