Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi

Jana nilimsikiliza akihojiwavna na AZaM kuwa anashida ya Dolla 200 ili apate hzo pesa zake kutoka Russia Sasa najiuliza huyu ni billionare gani huyu ambaye hana pesa
Pesa anazo ila zimeshikiliwa nje ya Nchi,Uswizi
 
Nataka kumpa pesa akalale gesti Sewa Bar Buguruni
Kama ni Sewa ya Buguruni, utakuwa humtakii mema!, unataka agombaniwe kama moira wa corner?, usiishie kumlipia tuu gest bali Maria na fedha za kulipia zile huduma, thanks god, it's cheaper kuliko ...

P
 
Kama ni Sewa ya Buguruni, utakuwa humtakii mema!, unataka agombaniwe kama moira wa corner?, usiishie kumlipia tuu gest bali Maria na fedha za kulipia zile huduma, thanks god, it's cheaper kuliko ...

P
Hahaha...Asante kwa ushauri Dkt.Pasko
 
huyu mzee si kuna kipindi mabilioni yake yaliingia hadi kiwango security wakamsaidia kuyapokea pale airport na kupeleka bank!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…