Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nadhani Serikali imeamua kulegeza masharti ili kupunguza mbinyo wa Kimataifa, maana kuna taarifa niliipata ya Serikali kuomba tena Mkopo wa 1.3Trilioni huko Kwa Wazungu.
Maana niliona Baadhi ya Vyombo vya habari vya kimataifa vilianza kuripoti kuhusu kukamatwa kwa Balozi na kujaribu kuihusisha Serikali hii na ile ya Mtangulizi wake kuwa haina utofauti inapokuja kwenye suala la Kukosolewa kwa Watawala.