Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

Dkt Slaa siyo mhaini ni kikundi cha watu wachache kutaka kutumia mfumo kuhakikisha Rais Dkt Samia anachafuka ili akose kura 2025, uzuri katusikiliza chawa sasa hawa waliotekeleza hiyo kamata kamata kinawanukia, watakoma maana Dkt Samia huwa hana utani kama wale wa Mwanza lazima kinuke. Rais Dkt Samia alishasema marufuku kumbambika mtu kesi, marufuku kukusanya kodi kwa nguvu, leo wanatokea watu wachache kwa utashi wao wanataka kumharibia rais heshima aliyojijengea. Sasa tutashuhudia Rais Dkt Samia akienda kumsalimia Dkt Slaa na kumpa pole.
Samia ana kazi nyingi za kupigania maendeleo ya watanzania hawezi kwenda kusalimia hiki kibabu kipotoshaji never ever.
 
Mwanasiasa mkongwe na Mwanadiplomasia hapa Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana masaa machache yaliyopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa ya uhaini.

Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya masaa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.

Pia soma
- Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana
Kwako Cc Kikaniki
 
Imeisha hiyo...Hongereni Holi sii!
 
Wamempima mkojo na tezi dume?
 
Failing state on its own discourse actions.

#Free Mwabhukusi and Mdude Nyagali because they are neither traitors nor criminals of any nature
 
Hii Nchi ni Secular Democracy tusije kujikuta tunachezea shilingi chooni

Siyo kweli, mfumo mzima wa Tanzania ni western christian, hata Zanzibari yenyewe ingawaje >98% ni Waislamu lkn inafwata Western Christian system of Governance …
 
Nadhani Serikali imeamua kulegeza masharti ili kupunguza mbinyo wa Kimataifa, maana kuna taarifa niliipata ya Serikali kuomba tena Mkopo wa 1.3Trilioni huko Kwa Wazungu.

Maana niliona Baadhi ya Vyombo vya habari vya kimataifa vilianza kuripoti kuhusu kukamatwa kwa Balozi na kujaribu kuihusisha Serikali hii na ile ya Mtangulizi wake kuwa haina utofauti inapokuja kwenye suala la Kukosolewa kwa Watawala.
Hata kama wamemwachia, imekula kwao, huo mkopo hatuwapi. Tutaona mjinga ni nani
 
Unataka Serikali ikose hela za kugharamia Uchaguzi wa Mwakani na ule Mkuu 2025 🤪
 
Kwanini Slaa peke yake? Au kwakuwa alikuwa mtumishi mwandamizi wa ile taasisi yao??
 
Afya yake haiko sawa. Unaweza let kesi nyingine akibaki ndani
 
Dr. Slaa mzinguaji. kipindi DIKTETA MAGUFULI anaitawala Tz🇹🇿 Kwa MKONO WA CHUMA yeye alikuwa anakula unyunyu kiwanja. Alidhihaki vibaya tukio la Tundu lissu kushambuliwa. aliunga mkono Operation zote zilizo tekelezwa na genge la DIKTETA MAGUFULI. Leo anataka huruma ya WA Tz🇹🇿 acha karma ikutafune mzee wetu
 
Back
Top Bottom