kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
ukute alitumwa ili awauze wenzake 😁Ila kwanini Slaa peke pake!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukute alitumwa ili awauze wenzake 😁Ila kwanini Slaa peke pake!?
Wameogopa kupwaya au wameogopa niniTaarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya masaa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.
Naiona kabisa Tanzania inaenda kuwa failed statehatuna standard. kila mtu akiamka anafanya analotaka
Ndio mfumo gani huo? hebu nionyeshe kwenye Katiba?western christian
Uongo mtupu.....Siyo kweli, mfumo mzima wa Tanzania ni western christian, hata Zanzibari yenyewe ingawaje >98% ni Waislamu lkn inafwata Western Christian system of Governance …
Inawezekana Dr Mihogo amechukua nafasi ya zzk enzi za jiwe!Dr Slaa ameachiwa hivi punde na kaingia nyumbani kwake Mbweni.
Ubambikaji wa kesi ya uhaini imebuma.
madaktari wake wamcheki afya wale wahuni wasijempulizia yale mapafyumu zaoAfya yake haiko sawa. Unaweza let kesi nyingine akibaki ndani
Yale makuwadi ya warabu yakiongozwa na samia yamepigwa tatu bila.Mwanasiasa mkongwe na Mwanadiplomasia hapa Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana masaa machache yaliyopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa ya uhaini.
Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya masaa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.
Pia soma
- Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana
Kanisa lina nguvu sanaKumbe mhaini ruksa kupewa dhamana!!