leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
M
Magu alikuwa hafanyi huo ujinga alijua gharama yake,ishu ya ugaidi ilikuwepo hata kabla ya mama Ila hakutaka Dili la kijinga Kama Hilo ndio maana utekelezaji wake umligharimu Sana motherMtu yyt muungwana hawezi kutetea CCM abadan.
Ndani ya CCM kuna viongozi majambazi, wahuni, wabadhilifu wa mali ya umma na wezi wakubwa.
Muungwana atampa sifa kiongozi mmoja mmoja ambae Anaonyesha uzalendo na upendo wa nchi yake na watu wake wazi wazi.
Na mfano mzuri ni Rais wa nchi mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Huyu Rais kawaachia wahuni toka jela kwa huruma zake leo wahuni hao hao wanamtukana na bado hajawatia adabu. Sababu anaangalia maslahi ya nchi bila kujali hisia zake.
Huruma ya namna hio anayo kiongozi muungwana mwenye hekma sana.
Angekuwa ni magufuli hapa huyo Slaa angekuwa historia tu.
Shukuruni sana kwa Mungu Mama Samia yuko madarakani