Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tunahitaji katiba mpya ili tuweze kuwa tunaongozwa na watu wenye akili,hekima busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji katiba mpya ili tuweze kuwa tunaongozwa na watu wenye akili,hekima busara
"What A JOKE" !!!!!Nilishaeleza tafsiri ya uhaini hivyo sina haja ya kuirudia kwenye mada japo nitaweka dondoo mojawapo inayohusiana na kosa/tuhuma ya uhaini.. Dondoo ni kwamba KOSA LA UHAINI HALINA dhaman...
We unadhani kuwekwa rumande mchezo? Ni mateso makubwa.Halafu mbona amechoka hivi slaa?!!
Shame on you. Najua umeisema hiyo jokingly, lakini kwa uliyosema baada ya kukamatwa kwake, naweza kusema bila kupepesa macho kuwa hicho ndicho ulichomaanisha.Napendekeza Slaa arudishwe remanded.
Acha kushangilia tu niliagiza hadi Konyagi mara tu niliposikia Slaa kanyakwaShame on you. Najua umeisema hiyo jokingly, lakini kwa uliyosema baada ya kukamatwa kwake, naweza kusema bila kupepesa macho kuwa hicho ndicho ulichomaanisha.
Ulishangilia kukamatwa kwake, sasa yako wapi? Utashangiliaje kukamatwa kwa mtu anayepigania maslahi ya taifa? Ingawa wewe na mimi ni kama watani wa jadi maana ligi yetu imeanzia mbali, lakini kwa hilo uliniudhi sana. Uwe unapima mambo ya kusema!
Sasa yuko nje nenda kajinyonge kabisa 🤣🤣Acha kushangilia tu niliagiza hadi Konyagi mara tu niliposikia Slaa kanyakwa
Siku kadhaa tu Babu kaisha hivo kumbe kale kakitambi ni ka vidonge ARVsSasa yuko nje nenda kajinyonge kabisa 🤣🤣
Kama ni ngoma mbona hata wewe unayo lakini hatusemi! Au hujui kuwa tumekufichia?Siku kadhaa tu Babu kaisha hivo kumbe kale kakitambi ni ka vidonge ARVs
Nilikuwa sijui kuwa Babu ana ngoma
Hapo sawa kumbe kuna uhaini halafu kuna uhaini wa kibongo vitu viwili tofautiJibu hili hapa
👇🏾👇👇
Safari hii naona Kingai amestuka na kuona kesi hii haina maslahi kwa nchi.Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana saa chache zilizopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa yaliyoelezwa kuwa ni uhaini na uchochezi.
Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya saa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.
Pia soma
- Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana
Mimi sio kiongozi wa Dini mzinziKama ni ngoma mbona hata wewe unayo lakini hatusemi! Au hujui kuwa tumekufichia?
Ogopa sana nguvu ya umma mzeeSafari hii naona Kingai amestuka na kuona kesi hii haina maslahi kwa nchi.
IGP Wambura alitoa tamko lililoleta taharuki kubwa.Ogopa sana nguvu ya umma mzee
Sasa hivi kila upande inabidi ucheze karata zao vizuri maana watanzania waleo siyo wale wa enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama.IGP Wambura alitoa tamko lililoleta taharuki kubwa.
DPP anapaswa kuelewa hili
Ikulu ni mahali patakatifuSasa hivi kila upande inabidi ucheze karata zao vizuri maana watanzania waleo siyo wale wa enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama.
Yaani hili jamaa silipendi vibaya sana na kama ikatokea sehemu linapambana na cobra nipo tayari kumsaidi cobra tuliuwe hili jingaCc: Lucas Mbwa wa Shamba.