Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

W
Halafu siku nyingi nilikuwa najiuliza hili jina " SLAA " nimeliona wapi?
Nimekuta kumbe SLAA ni kundi moja lililoko USA lenye maana ya " Sex and Love Addicts Anonymous (SLAA) .

Hatari sana.
Wakati wa mjomba Magu ulipotea sana chief
 
Haka kanchi mpira ukipoa siasa inainuka,siasa ikipoa utasikia Kuna vidio ya mgonoko imevuja!, vidio ikipoa wanamuziki wanainuka! Utasikia mondi kafumania na chuchu!.. ilimradi tafrani inachosa Sasa.. hiyo ni dp world tu bado Kuna mzimu katiba umelala siku ukiamshwa mjue kivumbi..😂
Nilitoga ushauri hii ishu ya DP world ilibiishe ni kitengo kubuni tukionmoja matata ambalo litakuwa gumzo mdomoni kwa kila mmoja na kushika vichwa vyote vya habri .

Ni kumchukua bwege flani ambaye hana mshipa wa aibu kama Mwijaku ambaye hana mshipa wa aibu na kumpeleka kunya hadharani mchana kweupe pale posta round about askari monument mbele ya kadamnas
 
Wala usijari mimi nipo humu kwa ajili ya kuondoa upotoshaji wa aina yoyote dhidi ya Serikali yetu inayoendelea kufanya vizuri katika kuwahudumia na kuwapelekea wananchi maendeleo.
Kwa kukuuza wewe na wenzako uarabuni,... usitake na wengine wakubali kuwa na akili iliyopinda kama yako.

Kawaida huwa sikusomi, lakini leo nimefanya 'exception' kwa hapa nione unasemaje.
 
Tunahitaji katiba mpya ili tuweze kuwa tunaongozwa na watu wenye akili,hekima busara
 
Ni ajabu sana. lakini ukiangalia hii nchi ni kama rais ni Mmarekani, Polisi ni North Korea, Mahakama ni Wacuba, Wananchi ni wavietnam.....network hazisomani kabisa. mambo ya kulifedhehesha taifa yanaendelea mchana kweupe na hakuna mtu wa kuwajibishwa.
😃😃😃😃😃
 
Maadui wakubwa wa nchi hii ni watu wa aina yako.

Sasa hata kule kujivisha ngozi ya kondoo kumekushinda!

Hovyo Kabisa!
Hebu thibitisha huo uadui wangu kwa hii Nchi yangu niipendayo ya Tanzania

Mimi kama Mtanzania natoa maoni yangu kwa uhuru sio lazima ati nikisikilize wewe kwa sababu tuko wote CHADEMA

Na kwamba sio kuwa CHADEMA ni lazima nisapoti au nipinge pinge ili kukufurahisha wewe

I don't care

Msituharibie Chama chetu na agenda zenu za siri za kuichoma Nchi hii.
 
Amesomewa mahakama gani mashataka ya tuhuma uhaini? Inawezekana ofisi ya mashtaka haikuona kosa la kumshtaki la uhaini. Bado polisi wako sawa kumpa dhamana uchunguzi ukiendelea.
Usiulize kiongozi, kaa kimya usije ukatukanwa na wenzetu hawa wanaojua kila kitu na wenye akili balaa.
 
Eti wanamsubiria kwa hamu kwenye SPACE😀 kwamba ateme cheche bado zikiwa za moto moto kutoka rumande.
Yaani hili sakata la bandari linazidi kukolea utamu. Spika Tulia alidhani anaweza iburuza demokrasia kirahisi rahisi kwa kuwatumia akina Msukuma, akawadharau na kuwaandama akina Mpina! Demokrasia lazima iheshimie. Hii nchi ni ya sisi sote. Baraza la Maaskofu Tanzania, TEC limejiunga kwenye huu mchezo. Tulia ingefaa akaachia ngazi kwa kusababisha sakata hili.
Asipofanya hivyo Mwabukusi akagombee kiti cha ubunge kilicho saa hizi wazi kwenye jimbo moja huko Mbeya kupitia CDM. Mwaka 2025 Sugu atachukua na lile jimbo la pili huko Mbeya na kumwacha Tulia akafanye kazi yake ya awali ya uwakili wa serikali. Siasa zina wenyewe.
 
The law is made to broken, hii ni tafsiri isiyo rasmi, ni lugha isiyoeleweka kisarufi ila unaweza kutafsiri vile upendavyo. Sasa kama kesi yenyewe ni ya mchongo ili kuzima mjadala wa hoja ya mkataba wa bandari usiendelee kuchoma nyika haitashangaza watuhumiwa kupewa dhamana kwa kosa wanalotuhumiwa nalo. Hizi ni siasa za matango pori ili kunyamazishana pale unapozidiwa hoja mambo yapite. Hata hao wengine hawana kesi waachiwe tu, udhaifu umeonekana upo wapi inatosha
 
Nimeongeza nyama hebu isome kidogo
Dah!
Sijui nisemeje kwa haya uliyoandika hapa.
Mimi na wewe tulikutana lini huko CHADEMA?

Kumbe upo CHADEMA?

Sasa sikiliza: uwepo wa watu wa aina yako ndani ya chama hicho, na kujitambulisha hivyo, ndiyo maana chama chenu kinapoata matatizo makubwa sana kueleweka kwa umma wa waTanzania.

Wewe ukiwa kiongozi wa ngazi yoyote ndani ya chama hicho kikiwa madarakani, hakutakuwa na tofauti yoyote na hawa viongozi wengi tunaowaona ndani ya hiki chama kilichogeuka kuwa zimwi kubwa kwa nchi kinayoitawala sasa.

Huwa sikurupuki na kumtuhumu mtu bila ya kuwa na sababu za msingi. maandiko yako siyo mageni kwangu humu JF. Ninakufahamu vizuri sana kuhusu maslahi unayoyasimamia wewe, kama wewe; na si lazima yawe ya nchi unayodai unaipenda sana.

Imetosha. Tuendelee na mengine.
 
Yaani hili sakata la bandari linazidi kukolea utamu. Spika Tulia alidhani anaweza iburuza demokrasia kirahisi rahisi kwa kuwatumia akina Msukuma, akawadharau na kuwaandama akina Mpina! Demokrasia lazima iheshimie. Hii nchi ni ya sisi sote. Baraza la Maaskofu Tanzania, TEC limejiunga kwenye huu mchezo. Tulia ingefaa akaachia ngazi kwa kusababisha sakata hili.
katika hili tupo pamoja sana.

Nadhani huu sasa utakuwa mwanzo wa kufungua mawazo ya watu, hata hao walioko huko Bungeni waliokuwa wamewekwa mahabusu na mkuu wao wa kitengo.
Wasiposikika sasa, basi wasisikike tena.
 
Nilitoga ushauri hii ishu ya DP world ilibiishe ni kitengo kubuni tukionmoja matata ambalo litakuwa gumzo mdomoni kwa kila mmoja na kushika vichwa vyote vya habri .

Ni kumchukua bwege flani ambaye hana mshipa wa aibu kama Mwijaku ambaye hana mshipa wa aibu na kumpeleka kunya hadharani mchana kweupe pale posta round about askari monument mbele ya kadamnas
Sio wote hufatilia upuuzi wa namna hiyo mkuu.

Na mbaya zaidi wapenzi wa siasa si wapenzi wa drama za hao kin mwijaku, na wapenzi wa hizo mambo za kina mwijaku ni wachache hufatilia siasa.

Mfano angalia tu hapahapa jamvini, ni wachache utawakuta wako active MMU na jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom