Utaona vipi takataka wakati wewe mwenyewe ni takataka, ni sehemu ya takataka.
Hata kitu chenye thamani utakiona ni takataka kama wewe mwenyewe ni takataka.
Kwa hiyo usinipeleke huko, wewe na mimi ni watu mbalimbali kabisa kama inavyojionyesha humu tokea tumeanza kujibishana.
Tena nimekupa heshima usiyostahili kuendelea kujibishana nawe hadi hapa tulipofikia sasa.
Nimekuvumilia sana nikiwa na matumaini kwamba pengine akili zitakurudi kichwani, kumbe unalo tatizo kubwa kuliko nilivyotegemea toka mwanzo.