Hii mipasho itasaidia kitu gani, kama siyo kupoteea watu muda wao wa kufanya mambo ya maana.Takataka mnajaza nyinyi mnaoishia kuweka mapovu yenu wakati haina uwezo wa kuibadilisha mipango mizito ya uwekezaji pale bandarini.
Inakuwa sawa na sisimizi mgongoni mwa tembo wakati akinywa maji.
EEEeeeh!Pole sana kwa maumivu makubwa unayoyapata baada ya nia zako mbaya kushindwa kila mara.
Nipo humu ndani huu ni mwaka wa saba.EEEeeeh!
Mimi nikiwa na "maumivu", wewe fisadi anayepoteza kila kitu sijui atakuwa na hali gani?
Dubai alipoingia tu, ukapangwa kuja hapa JF kupambana. Sasa huna kitu unabaki kulialia tu!
Kazi uliyotumwa kuja kuifanya hapa imeshindikana kabisa.
Mambo ya maana yanaendelea muda huu, wanasheria wanaandika mikataba ya kazi miwili huko ughaibuni.Hii mipasho itasaidia kitu gani, kama siyo kupoteea watu muda wao wa kufanya mambo ya maana.
Hata ungekuwa mwaka wa mia moja, kwa akili zako ulizoonyesha humu usingekuwa umejifunza lolote.Nipo humu ndani huu ni mwaka wa saba.
Mlipoitisha maandamano mara ya mwisho alijitokeza dada mmoja tu aliyevaa ushungi!.
Kelele, hasira na matusi ni humu humu tu, mashujaa wa nyuma ya keyboard.
Ulishaandika haya, bila shaka akili yako inalo tatizo la kusahau?Mambo ya maana yanaendelea muda huu, wanasheria wanaandika mikataba ya kazi miwili huko ughaibuni.
Nimeandika hayo makusudi mkuu Kalamu.Ulishaandika haya, bila shaka akili yako inalo tatizo la kusahau?
Una umri gani wewe. Inawezekana 'Alzheimer' tayari inakunyemelea!
Una'bore' sasa.Nimeandika hayo makusudi mkuu Kalamu.
Mapovu haya sasa, takataka zako huzioni?.Una'bore' sasa.
Katafute shughuli nyingine kuliko kuendelea kupoteza muda hapa JF kwa kujaza takataka.
Utaona vipi takataka wakati wewe mwenyewe ni takataka, ni sehemu ya takataka.Mapovu haya sasa, takataka zako huzioni?.
Bandari imepata mwekezaji mahiri mwenye uzoefu wa kuendesha bandari kisasa anayekwenda kuleta mabadiliko makubwa ya sekta ya uchukuzi.Utaona vipi takataka wakati wewe mwenyewe ni takataka, ni sehemu ya takataka.
Hata kitu chenye thamani utakiona ni takataka kama wewe mwenyewe ni takataka.
Kwa hiyo usinipeleke huko, wewe na mimi ni watu mbalimbali kabisa kama inavyojionyesha humu tokea tumeanza kujibishana.
Tena nimekupa heshima usiyostahili kuendelea kujibishana nawe hadi hapa tulipofikia sasa.
Nimekuvumilia sana nikiwa na matumaini kwamba pengine akili zitakurudi kichwani, kumbe unalo tatizo kubwa kuliko nilivyotegemea toka mwanzo.