Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wale matapishi chama hakina muelekeo wala mvuto slaa anahitajika zaidi kuliko lissu wala mnyika!Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Slaa hana shida ya kugombea Urais ,Lissue ana mashaka yasio na uhakikaakirejeshwa the Mbowe agombee Urais coz anawazidi wote pakubwa Kujiamini na Uzalendo usio shaka, Uvumilivu na Ustahimilivu usiokoma, Uthibutu, hekima na Busara za kiuongozi na hivyo anaaminika na atavutia wengi. Hoa wengine ukimuangalia na kumsikiliza vizuri, tone na expressions zimejaa ukibaraka ukibaraka hivi
Shida ya baadhi ya makamanda hawako well informedKwaakili za manyumbu wanamsubiri mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.
Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
Pimbi katika ubora wako.Kwaakili za manyumbu wanamsubiri mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.
Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
"kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati"...........kama ukweli fulani, ila sioni mbowe ka mgroom nani katika chama chake?Offcourse deep state wanamtaka Slaa ataweza mvuruga Samia Hadi suala la katiba mpya litakwenda na maji...
Slaa Hana adabu na ana chuki za kidini ..hii itamfanya Samia awachukie Chadema kabisa ...na asijali Sana maridhiano...na atalazimika kuwa accommodate..team JPM na team Kikwete more kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati...
In the end watakaopata faida ni ccm hardliners ambao Samia atalazimika kuwasikiliza zaidi ili kuwadhibiti Slaa na Tundu Lissu....
Huku mtu wa Pengo... Philip Mpango anaji brand kama "calm na collected" na "president in waiting"...
Let's wait and see
Kuna shida sana ya uchawa CDM na UVCCM... watu hawana ile political ideology kwamba iwe ndio imani yao na msimamo wao... ukitaka kuwakwaza CCM mtukane furushi kilemba... ukitaka kuwakwaza CDM mtukane yule mwenye maghorofa Dubai. Ukitaka kuwakwaza simba mtukane chama... yani nchi uchawa uchawa mwingi tuu ndio maana watu wanauza bandari wanajua tukimnyamazisha mbowe tuu hakuna mjadalaShida ya baadhi ya makamanda hawako well informed
ACHA UONGO MKUUIjumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Kwani hawana system patronise viongozi wao wa badaye kama CCM inavo fanya.Shida ya makamanda wana subiri CCM reject waje wapeperushe bendera
Huu utoto ndio unaona umecheza mind game ya hatari.Slaa hana shida ya kugombea Urais ,Lissue ana mashaka yasio na uhakika
Ccm inafanyaje zaidi ya kutegemea vyombo vya dola? Siku ccm inatoka madarakani ndio utajua ni chama cha wapigania tumbo na hawana principles zozote.Kwani hawana system patronise viongozi wao wa badaye kama CCM inavo fanya.
Mbowe tena mpiga dili.aliuza chama kwa luwasa leo samia.achana na mbowe cdm imekuwa mali yake.akirejeshwa the Mbowe agombee Urais coz anawazidi wote pakubwa Kujiamini na Uzalendo usio shaka, Uvumilivu na Ustahimilivu usiokoma, Uthibutu, hekima na Busara za kiuongozi na hivyo anaaminika na atavutia wengi. Hoa wengine ukimuangalia na kumsikiliza vizuri, tone na expressions zimejaa ukibaraka ukibaraka hivi
Mkuu na kuamini ila kwa hili hapana, wote hatupendi CCM ila ina system ya viongozi wao sema wanasaidiwa na deep state kuwapa muongozo, walivo kosea wa kaweka mtu nje ya system JPM uliona madhara yake. Kwasasa hivi vijana wao wa urais tunawajua wote.Ccm inafanyaje zaidi ya kutegemea vyombo vya dola? Siku ccm inatoka madarakani ndio utajua ni chama cha wapigania tumbo na hawana principles zozote.
Wale jamaa waliojipanga kumharibia Samia ...wanaendelea na mpango au wanatafakari baada ya wewe kutueletea habari zao?kuna lines umeongea ukweli, Slaa na Lissu wamekaa kiuwana harakati zaid , Mbowe ana kazi ya kufanya
Umbea wa kibondeiIjumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Ulitaka DR Slaa amnadi Lowasa hivi kwaakili zako hata za makalioni tuu ni jambo linalowezekana?MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Wewe ni MUONGO!Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.