Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnapima upepo,hakuna wa kumpinga Mbowe hapo Chadema,yeye ndio Alpha na Omega kwenye hiyo Sacco's,Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.
Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.