Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Wacha wale matapishi chama hakina muelekeo wala mvuto slaa anahitajika zaidi kuliko lissu wala mnyika!
 
Slaa hana shida ya kugombea Urais ,Lissue ana mashaka yasio na uhakika
 
Shida ya baadhi ya makamanda hawako well informed
 
Pimbi katika ubora wako.
 
"kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati"...........kama ukweli fulani, ila sioni mbowe ka mgroom nani katika chama chake?
 
Shida ya baadhi ya makamanda hawako well informed
Kuna shida sana ya uchawa CDM na UVCCM... watu hawana ile political ideology kwamba iwe ndio imani yao na msimamo wao... ukitaka kuwakwaza CCM mtukane furushi kilemba... ukitaka kuwakwaza CDM mtukane yule mwenye maghorofa Dubai. Ukitaka kuwakwaza simba mtukane chama... yani nchi uchawa uchawa mwingi tuu ndio maana watu wanauza bandari wanajua tukimnyamazisha mbowe tuu hakuna mjadala
 
"kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati"...........kama ukweli fulani, ila sioni mbowe ka mgroom nani katika chama chake?
Shida ya makamanda wana subiri CCM reject waje wapeperushe bendera
 
ACHA UONGO MKUU
 
Mbowe tena mpiga dili.aliuza chama kwa luwasa leo samia.achana na mbowe cdm imekuwa mali yake.
 
Ccm inafanyaje zaidi ya kutegemea vyombo vya dola? Siku ccm inatoka madarakani ndio utajua ni chama cha wapigania tumbo na hawana principles zozote.
Mkuu na kuamini ila kwa hili hapana, wote hatupendi CCM ila ina system ya viongozi wao sema wanasaidiwa na deep state kuwapa muongozo, walivo kosea wa kaweka mtu nje ya system JPM uliona madhara yake. Kwasasa hivi vijana wao wa urais tunawajua wote.
.1 HM
2 MN
3. JM
hao wote wamepikwa wana subiliwa tu phillip mpango hawezi kupewa uraisi iko nje ya system japo anjifanya mpole kwao ila hawamuamini.
 
kuna lines umeongea ukweli, Slaa na Lissu wamekaa kiuwana harakati zaid , Mbowe ana kazi ya kufanya
Wale jamaa waliojipanga kumharibia Samia ...wanaendelea na mpango au wanatafakari baada ya wewe kutueletea habari zao?
Samia why hawatimui??
 
Umbea wa kibondei
 
Ulitaka DR Slaa amnadi Lowasa hivi kwaakili zako hata za makalioni tuu ni jambo linalowezekana?
 
Wewe ni MUONGO!
Mbona Lissu amesema Slaa anaweza rudi hajafukuzwa?
Mnapenda sana kuitungia maneno Chadema!
 
HUYO SLAA NI MSALITI WA WAZI KABISA ALIESABABISHA UKAWA KUSHINDWA KUCHUKUA NCHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…