Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Naona mnapima upepo,hakuna wa kumpinga Mbowe hapo Chadema,yeye ndio Alpha na Omega kwenye hiyo Sacco's,

Acha kujitekenya.......
 
Naona mnapima upepo,hakuna wa kumpinga Mbowe hapo Chadema,yeye ndio Alpha na Omega kwenye hiyo Sacco's,

Acha kujitekenya.......
Mbowe anataka awagombanishe Slaa na Lissu ili agombee yeye urais 2025
 
Uko kimya Sana ...Ataenda Act?..wapinzani plan zao zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…