Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa


TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!

Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati




Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
 
Nadhani hapa tulipofika magufuli ilikuwa afadhali kumbe kelele nyingi zilikuwa zinatoka kwa wale aliokuwa kawakata mikia na hao ndo sasa hivi wamekaa kimya.
 
Ccm ni wauaji
 
Ni wapi nchi inaelekea? Haya mpaka lini?
Hadi hapo watu watakapochoka na kuamua kutoa 'kafara' kubwa ili kukomesha kabisa masuala haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…