Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
In Jesu Name and God of Israilites he is not going to Die.

Kama Ambavyo Mungu alimuokoa Naaman na Kumponya Ukoma ili jina lake lihimidiwe These boys are not going to die.

Na wanaohusika Mungu atawashughulikia kama alivyomshughukikia Hamani enzi za mfalme Atashasta
 
Dah!
Homeboy wangu wanataka kumuua!
Yaani Serikali inahangaika na watu wadogo kama sisi!
Tunaopiga stori kwenye vijiwe kahawa,tunaokunywa Vibia 2 kwenye Duka la Mangi,tunapeana Hela ya Sigara mtaani!
Leo tunaona mtandaoni jamaa yetu anataka kuuwawa kisa kuorganize maandamano ambayo hayakufanikiwa!!
Chonde chonde jamani,msifanye hivyo.
Hao polisi tuko nao mtaani,wanyonge tu..Mtawasababishia matatizo Familia zao.
Kazi mnazowatuma zitawafanya Raia waasi.
 
Tz ni sawa na kichaka cha nyasi kilichokauka,anasubiria mtu akimwagie petroli kiwake
Ila mara nyingi hatuombei kuona hali hiyo lakini inavyonekana kuna viongozi wanataka kutuingiza huko

Ova
Ndio tunakoelekea.
Juzi kati kaja Askari mtaani kwa Bi mkubwa wangu anataka kupanga upande.
Nikapigiwa simu,nilipoambiwa ni askari nikamwambia Mama ampe simu..
Nilimfukuza kama Mbwa,yeye na Dalali wake.Sitaki NZI.
 
Hawa wauaji safari hii hawatafanya makosa kama kwa sativa ni kukata kichwa na kiwiliwili.
 
Wasaka Urais ndani ya ccm wanamuaribia Mama nae katulia tu anajifanya chura kiziwi hajui anajikaanga na mafuta yake.
Mama kwa sasa anategemea sana vyombo vya ulinzi kubaki madarakani, hawezi kuwakemea hata kuwauliza. Huko kwenye CCM ukuta wake hauko vizuri sana. Umeanza kuweka Ufa. Hawezi kuuamini kwa 100%. Tutarajie maumivu Zaidi..
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Uzuri ni kwamba Faustin Mafwele amefahamika
 
Uuuuuuuhhhhh! Mama anatupeleka wapi jamani hebu tukatae mtu huyu na chama chake haraka!
 
Akili hizi ndizo zile za lamadi za kuvamia kituo cha polisi kea habari za kusikia,watu wala hawajisumbui na ukweli wa habari zenyewe,wanalaumu tu
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Mzazi anayeua wwnae anabakia kuwa mzazi wa nani?

Kosa la Deus Soka ni lipi
 
Kama Yesu Kristo angekuwa na ubinafsi, basi waebrania tusingeweza kuuona mwanga . He is a true leader .

Deusdedith hatakufa , bali ataishi kuyasimulia matendo ya Bwana .
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Kwani huyu anatishia kitu gani huko kwenye madaraka hadi aamuriwe kuuawa?

Mbona maisha ya watu sasa yanatishiwa hovyo hovyo hivi?
 
Nasubiri tamko la Zitto kabwe kama alivyokuwa anatoa matamko kipindi cha JPM
 
Back
Top Bottom