Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

Dr silaa achukuliwe akasaidie upelelezi ili kijana asiuliwe
 
Kwani mtajwa ndo nani na amefanya jambo gani la hatari adi kuwaziwa kifo?
 
Uzuri ni kwamba Faustin Mafwele amefahamika
Hebu eleza kidogo.
Huyu ni polisi au ana shughuli maalum ya kuteka tu? Yuko CCM. Ni hao vijana wa CCM?

Kajulikana vipi kuwa naye ni mhusika/kiongozi wa utekaji?

Kuna mwingine kule Kagera, mbona yeye hasikiki ?

Hawa wanapo julikana wazi wazi katika jamii ni jambo zuri sana; kwa sababu wananchi wanajuwa wapi pa kuanzia.
 
Kabisa

Ova
 
Imetajwa kwamba huyu ndio anaongoza kikosi cha kuteka na kuua watu, Ofisi ya unyama huu iko nyuma ya kituo cha Polisi Chang'ombe
 
Nadhani hapa tulipofika magufuli ilikuwa afadhali kumbe kelele nyingi zilikuwa zinatoka kwa wale aliokuwa kawakata mikia na hao ndo sasa hivi wamekaa kimya.
Sasa Rais Samia anahusikaje hapo?
 
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
WALIO MTEKA SATIVA NDIYO WALIO MTEKA SOKA NA WENZIE WAWILI..!

1.Ikiwa imetimia saa 48 bila ya Kujulikana alipo Kijana Deusdadit Soka,Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise pasipo kujulikana wapo wapi tangu watekwe na kupotea siku ya juzi tarehe 18 August 2028 majira ya asubuhi kuelekea mchana maeneo ya Buza.

2. Deusdedith Soka alitekwa juzi baada ya kuwekewa mtego wa mawasiliano ya simu yake ya mkononi ya namba+255678695662 na watekaji wake ambao walimtaka afike kituo cha polisi Chang'ombe kwa utambuzi wa pikipiki yake iliyopotea mwaka Jana chini ya usimamizi wa dereva wa pikipiki hiyo (bodaboda) Frank Mbise.

3.Soka baada ya Kupokea simu hiyo alimjulisha rafiki yake Jacob Godwin Mlayi ambaye pia ni Katibu wa CHADEMA wilaya ya TEMEKE ampitie waweze kutoka wote nyumbani na kuelekea Kituo cha Chang'ombe polisi ambako walipokea wito kwa njia ya simu.

4.Kwakuwa Deusdedith Soka aliitwa kwa ajili ya utambuzi wa Pikipiki yake iliyopotea mwaka Jana ikiwa chini ya usimamizi wa Dereva wake Frank Mbise

Soka aliona ni busara kufika kituo wanachopaki bodaboda mtaani kwake anapofanyia kazi Frank Mbise ili waongozane naye kwenda polisi Chang'ombe Kuitambua pikipiki hiyo iliyopotea siku nyingi.

5.Baada ya Kukutana watu watatu ambao ni Deusdedith Soka,Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwa wanatembea Kuelekea Kupanda gari,ndipo walipopigwa ambushi ya Kuzingirwa na Kuporwa simu zao haraka sana kisha kupandishwa katika aina ya Noah ya rangu ya blue kabla ya Kutokomea kusiko julikana.

KUTEKWA KWA SATIVA

1.Sativa alitekwa siku ya Jumapili ya tarehe 23 mwezi June 2024 majira ya Saa 1: 45 usiku maeneo ya Kituo cha mwendo kasi Kimara Korogwe ,njia ya Kuelekea Kisukuru/Majichumvi.

2.Sativa alitekwa kwa kuwekewa mtego wa Kupigiwa simu na Dalali anaye mfahamu kwa Jina la ABUU mwenye namba 0788343770 ambaye ni Dalali aliyetambulishwa na Dalali wake wa muda mrefu kwa jina la KOVE mwenye namba ya simu 0778421652 wote maskani yao kimara Korogwe pia.

Sativa alikuwa amempatia kiasi cha fedha nusu ABUU ili kupangisha nyumba ambayo mwezi October 2024 mpangaji alikuwa anatoka na kuachia nyumba hiyo.

3.Dalali ABUU kwa simu yake ghafla akampigia Sativa kupitia namba yake ya simu 0788343740 majira ya Saa 10:05 jioni ,Saa 11:15 jioni,Saa 11:40 jioni na Saa 12:32 jioni akimtaka Sativa afike Kimara Korogwe waende kulipia kiasi kilichobaki ili apewe nyumba.

Sativa ambaye alikuwa njiani kutokea Coco beach na kaka yake wakiwa wanarejea nyumbani Kwa Kaka yake Ubungo Msewe alishangaa jambo hilo kuwa ghafla ila hakujua kuwa Dalali ABUU alikuwa chini ya ulinzi tayari wa watekaji kuanzia mchana hadi myda huo wa saa 1:00 usiku
hapo hapo Kimara Korogwe wakisubiri Sativa atokee Wamteke na Kuondoka naye.

Lakini Dalali huyo alipiga simu kwa Sativa na kukosa kitu cha uongo cha Kuongea zaiidi ya Kumtaarifu Sativa anamtafuta na muhimu waonane kwa ajili ya nyumba anayotaka kupangisha.

4.Sativa alipofika kituo cha Kimara Korogwe alimpigia simu ABUU

ambaye kwa maelekezo ya ABUU,alimuona akiwa juu ya pikipiki yake huku kiti cha nyuma ya pikipiki ya ABUU alikuwa ameketi mdada mweupe sana.

Sativa aliomuona ABUU akamwambia "nimeshakuona" yule Dada ghafla alishuka kutoka kwenye pikipiki kama mtu ambaye anaondoka na safari zake,

Sativa alipofika alienda moja kwa moja na kupanda pikipiki ya ABUU siti ya nyuma.

Alipoketi tu ilikuja kwa nyuma njemba moja na kumkaba shingoni Sativa, huku akitoa pingu mfukoni mwake kisha kumfunga kwa nyuma sativa.

Sativa alimuuliza ABUU "Oya vipi tenaaaaaa.?" ABUU akamjibu "Hata mimi sielewi,nipo nao tangu mchana wanakutaka wewe,Malizana nao tuuuuu"

Sativa aliposhushwa na kupelekwa ilipopaki Noah ya blue iliyoshiriki tukio la utekwaji wa Soka siku ya Juzi,ABUU alikimbia mfano wa swala aliyeponea katika mdomo wa Simba

WATEKAJI

Ni watu wale wale waliomteka Sativa ndiyo wamemteka Deusdedith Soka.

Namba ya simu iliyotumiwa kumpigia ABUU ili atumike kumvuta Sativa ndiyo namba iliyotumika jana kumpigia Soka ili kumvuta atoke barabarani aende polisi Chang'ombe kufuata pikipiki yake.

Gari aina ya Noah ya Blue iliyotumika kumteka Sativa eneo la Kimara Korogwe ndiyo gari iliyotumika Juzi kumtekea Soka.

Yule Dada mweupe sana aliyetumika kumvuta Sativa ndiyo Dada aliyeonekana Jana Jirani na nyumbani kwa Soka akiwa na watekaji wa Soka.

Bahati nzuri Dada ameshafahamika hadi jina lake linaanza na herufi "S" pia ameshawahi kufanya kazi zake mkoa wa Kinondoni ofisi fulani ya upelelezi.

Watu hawa wamekuwa wakijitambulisha ni miongoni wa kikosi kazi "task force" za Mkoa wa Dar es Salaam wenye maskani maeneo ya CHANG'OMBE (ofisi yao naiweka sirini kwa sasa)

Wanatabia ya kuigiza wakiwa na mateka,

kwa mfano walipomteka Sativa wakiwa njiani Singida kwenda Katavi wakitokea Arusha walimshusha mbugani Sativa wakatoa simu kuanza kumrekodi wakisema ataje kuwa anatumwa na Mimi,Martin na Mswahili kuikosoa serikali.

Soka alipotekwa juzi,sikunya Jana wametumia namba ya zamani alitokuwa anatumia soka ya 0673703986 kutuma kwa Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Temeke kuwahadaa na Jumbe za kuwa wapo salama safarini wasitafutwe.

Pamoja na kutengeneza mazingira ya uongo kwamba soka alikuwa anandaa "maandamano ya tarehe 26"

JE SERIKALI INAWAJUA...?

Ndiyo serikali na Jeshi la Polisi kinawajua hawa watekaji wanaojitambulisha kama sehemu ya Kikosi kazi cha Mkoa wa Dar es Salaam.

Na hata kama haiwajui ni rahisi sana Serikali ikitaka kuwajua.

inapitia namba ya mwisho kumpigia Deusdedith soka siku ya Juzi katika namba yakeya +255678695662 au serikali inaweza kuchungulia namba ya Dalali ABUU 0788343770 kupitia calls zake za jumapili tarehe 23 June 2024 ktk simu.

wataiona namba ile ile ya Jana iliyompigia Deusdedith Soka ndiyo ilimpigia Dalali ABUU.

WAMETEKWA WATU WATATU..!

Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise hawakuwa kwenye mtego wala malengo ya watekaji wa Deusdedith Soka.

Soka alikuwa ndiyo Main target ambaye walianza kumuwekea mazingira ya kumteka tangu siku ya tarehe 10 August 2024.

Wakati Deusdedith Soka anakamatwa na Vijana wenzie wa BAVICHA,Wilayani Temeke wakiwa katika maandalizi ya kuelekea Mkoani mbeya kuadhimisha siku ya Vijana Duniani,

wenzie wote walipelekwa kkt Kituo cha Polisi CHANG'OMBE lakini Deusdedith Soka peke yake alipelekwa kituo cha Polisi KILWA ROAD tofauti na mwenzie.

Siku ya tarehe 12 August 2024 wakati Soka nawenzie Wanaachiwa na Jeshi la Polisi, Deusdedith Soka alifatwa na gari inayofanana na Spacial/Raum rangi ya Blue ambayo ilikuwa na askari wa Kikosi kazi (Task Force ) wenye rasta kumtoa Kituo cha Polisi Kilwa road na Kumleta Chang'ombe kwa dhamana.

Akiwa njiani mmoja ya hao askari wa Kikosi kazi mwenye rasta,alimuhaidi Soka kuwa muda si mrefu watamalizana naye mazima.

Deusdedith Soka alipoachiwa kwa dhama alikimbilia mtandaoni kuja kuandika kuhusu Vitisho hivyo ingawa siyo kwa kirefu na uwazi kama ambavyo sisi watu wake wakaribu alivyotushirikisha na kufahamu jambo hilo.

KUTEKWA VIONGOZI WA CHADEMA

Mpaka sasa ni Viongozi wakubwa wa CHADEMA wametekwa ndani ya muda wa mwaka mmoja tu.

Tarehe 15 june 2013 alitekwa Mbwana Twaha Kombo Mjumbe wa Kamati tendaji ya wilaya ya Handeni,Tanga

Tarehe 26 July 2024 akatekwa na kupotea Dionizi Kipanya Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Sumbawanga,Rukwa

Tarehe 18 August 2024 wamemteka Katibu wa wilaya wa TEMEKE Jacob Godwin Mlay

Wamemteka Mwenyekiti wa Vijana (BAVICHA) wilaya ya Temeke Deusdedith Soka.

Je siku tukisikia Katibu wa CCM wilaya fulani ametekwa amepotea au Mwenyekiti wa UVCCM wa wilaya amepotea baada ya kutekwa Jeshi la Polisi litaendelea kuwa na utulivu huu huu wa leo Viongoziwa CHADEMA wanapotekwa..?
 
Anatekeleza matakwa ya serikali ya Samia na ccm
Sipendi kuonekana kuitetea serikali ya 'Chura Kiziwi'' lakini mtu anapokubali kutumika, bila kujali utu wake mwenyewe, ni lazima hukumu ianzie hapo kwenda juu. Vita huua maaskari kabla ya hao wanao watuma kuwajibishwa.
Hawa askari washughulikiwe kwanza huko huko mitaani.
 
Kama una taarifa zote hizi ulishindwaje kumpata au kumfuatilia au ?
 
Attachments

  • VID-20240822-WA0071.mp4
    11.6 MB
  • IMG-20240822-WA0070.jpg
    IMG-20240822-WA0070.jpg
    86.9 KB · Views: 5
  • IMG-20240822-WA0069.jpg
    IMG-20240822-WA0069.jpg
    66.7 KB · Views: 4
  • IMG-20240822-WA0068.jpg
    IMG-20240822-WA0068.jpg
    91.9 KB · Views: 4
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa

TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya DSM. Amesema, jopo la kutekeleza mkakati

View attachment 3075985

Pia soma:KWELI - Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdadit Soka atauawa na kutupwa msituni
Slaa akamatwe Ili atoe ushahidi yaelejea anajua Aliko huyo dogo wenu wa Gen Z
 
Back
Top Bottom