ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
For readers enlightenment, please not that Confederate Spy amewaita "makamanda" wote wakuu tunaowajua hapa JF isipokuwa "kamanda" Ben Saanane hajaitwa kwenye mjadala.
I hope you know what am talking about...
dr mpaka 2015 utakuwa umezua magapi kila kukicha unalako jipya muogope mungu pia wakatoriki si waongo kiasi hicho kumbuka wewe ni padri.
kakasamu na wa aina yako,
shame on you! na ya gari zote mbili ya kwangu na ya walionifuatilia. namba ziko humu sasa unataka uthibitisho gani zaidi!
Taifa limefika pabaya watu wanajadili jambo zito wengine wanalifanyia ushabiki. nimeona yote yaliyotokea kwa macho yangu na ndiyo niliyoshuhudia. unahitaji ushuhuda gani gani zaidi ya eye witness!
Hao ni CCMTISS. Kudos Jack Zoka and Ramadhani Ighondu, the nation is watching everything you do...
Du! Kumbe nayo hii imekuwa stori, hamna chochote ni mimi nilikuwa natoka zangu Iringa nikaamua ili niende mwendo mzuri basi nifukuzane na dreva wa Dr Sllaa kumbe nayo imekuwqa issue, kweli TISS mtawasingizia mengi mpaka kufika 2015
kakasamu na wa aina yako,
shame on you! na ya gari zote mbili ya kwangu na ya walionifuatilia. namba ziko humu sasa unataka uthibitisho gani zaidi!
Taifa limefika pabaya watu wanajadili jambo zito wengine wanalifanyia ushabiki. nimeona yote yaliyotokea kwa macho yangu na ndiyo niliyoshuhudia. unahitaji ushuhuda gani gani zaidi ya eye witness!
Yani ndugu yangu, sasa hivi naona kila jambo wanasingiziwa TISS. Mtu sasa hivi hata akiporwa simu manzese, kama ni mwanasiasa wa upinzani hasa Chaga Development Management - CHADEMA, atasema kaporwa na TISS. Wanafanya mchezo mbaya sana wa kuichafua idara ya usalama huku wakidhani kwamba watanzania wote ni wajinga-wataamini propaganda zao. Kila mipango yao ya kisiasa ikikwaa kisiki watasema TISS inahusika; hata mtu akiachwa na mkewe atasema TISS imesababisha... duuuuh!
Af kwa kwann slaa ana tabia ya kuandika makosa mengi hivi katika maelezo yake, katibu mkuu gani wa chama anakosa umakini katika uandishi, yaani typing errors kibao pamoja na udhaifu wa kimantiki wa maelezo yake. Arekebishe hili
Mzee anaweweseka kutafta huruma ya watanzania
Ili nimuone Dr anaakili timamu
1. Athibitishe hiyo namba ya gari sisi tuko tayari kufuatilia na kutaja gari ni ya nani.
2. Abandike hiyo picha ya gari iliyo pigwa. Na kama picha imechakachuliwa tutaielewa ninazo tools.
La sivyo huyu mzee atakuwa anazeeka vibaya.
kakasamu na wa aina yako,
shame on you! na ya gari zote mbili ya kwangu na ya walionifuatilia. namba ziko humu sasa unataka uthibitisho gani zaidi!
Taifa limefika pabaya watu wanajadili jambo zito wengine wanalifanyia ushabiki. nimeona yote yaliyotokea kwa macho yangu na ndiyo niliyoshuhudia. unahitaji ushuhuda gani gani zaidi ya eye witness!
kakasamu na wa aina yako,
shame on you! na ya gari zote mbili ya kwangu na ya walionifuatilia. namba ziko humu sasa unataka uthibitisho gani zaidi!
Taifa limefika pabaya watu wanajadili jambo zito wengine wanalifanyia ushabiki. nimeona yote yaliyotokea kwa macho yangu na ndiyo niliyoshuhudia. unahitaji ushuhuda gani gani zaidi ya eye witness!
You seem to be too desperate for power!!
Uongozi mwanana wa kuongoza jamii unakuja automatically kwa mapenzi ya waongozwa. Mwl. Nyerere alisema kiongozi mzuri ni yule asiyetaka kuongoza. Ninyi kwa sasa inavyoonekana mnataka kuongoza kwa hali na mali.
Hizi spinning mnazozianzisha zitakuja kuwarudieni ninyi wenyewe. Historia ya chaguzi nyingi za nchi za Afrika imebainisha hili. You're setting the spinning bar very high kiasi kwamba hata mkiingia madarakani hamuwezi kuwapa wananchi kile mnacho spin kucha kutwa kama kinawezekana. otherwise, tunaanza kuona kama mko na mission za kutaka kujinufaisha kibinafsi
shame on you too....
Hivi slaa do u have a gut to think , hope , aspire or even dreaming that you gonna make good president?
mtu gani akuue wewe mchana kweupe? we have vide cameras, from our smart phones, we have backup of every technology....huyo wa kukuua wewe so openly kiasi hicho ni nani? kwa nini unajivisha ujinga na uwehu kwa mawazo na mitaji ya kitoto?
mwenzako mbowe ana walinzi, whats makes you huna walinzi? walau mmoja ungemshusha afuatilie hilo gari? HAUKUWA NA WATU kutoka makao makuu (kikosi chenu cha ulinzi) kifuatilie hata kumuhoji huyo dereva?? tangu iringa??? hata kama umegundua ukiwa morogoro bado walinzi wenu walikuwa na uwezo wa kumkamata huyu mtu.......SASA KAMA HAUNA AKILI NDOGO KAMA HII UKIWA RAIS utafanyaje? you are far worst than what we have now.....
Slaa pengine unazeeka vibaya, but please try to collect youself and organise your logic skills, please no one can buy this ----,,,,I mean no one can board in this vehicle made by you
wa kuku support wewe ni wenye akili kama zako, wasioweza kufikiri
wanachadema, it was better mngemkaripia huyu rais wenu maana hatumii ubongi