Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master Peace:Mkuu Ritz; argument zako hazina tofauti na za muishiwa dhaifu anaye amini foleni za magari jijini Dar es Salaam is an indicator of economic growth; Foleni kutoka Iringa hadi Dar es Salaam ? Like father, like son.
Taarifa hizi zinakufurahisha sana wewe na wasiopenda mabadiliko.Mbinu hizi za vitisho na majaribio mabaya kwa viongozi wa upinzani hazitafanikiwa kamwe.
Sasa jeshi la polisi litoe taarifa kuhusu watu hawa ni akina nani na malengo yao ni nini hasa.Kauli zebu huku hazisaidii bali jeshi la polisi sasa linalojigamba kutenda kwa weledi litoke hadharani
Master Peace:
Kichaa mara zote hujiona yupo sawa na huona walio wazima ni vichaa,hivi wewe kwa akili yako fupi ulitaka Dr Slaa atoke Iringa bila kufuatana na Magari Mengine?? Angepanda helicopta basi kama hataki kuona gari yoyote nyuma yake
Katika madai yake hajataja SSM wale Usalama wa Taifa ila amesema habari ni ya kweli. Na mleta mada ameweka hadi namba za gari. Acha mwenye gari aje hapa abishe ndipo na picha iwekwe. Nina hakika magazeti wataandika hii issue na namba itakuwa hadharani. Kama kuna ameonewa na hii habari aende kushitaki polisi maana picha zipo.Anachofanya sasa hivi Dr Slaa na wenzake pamoja na Bavicha ni kutafuta huruma kutoka kwa wananchi kusingizia mambo kuwa wanawindwa na Usalama wa Taifa wauawe.
Madai ya Dr Slaa kuwa walikuwa wanafuatiliwa na gari ambayo wameipiga picha si wawake hiyo picha basi kuliko kuja na porojo.
Madai ya aina hii mbali ya kuwa madai ya uongo, pia yanaonyesha upeo mdogo wa viongozi wa Chadema.
Ni wapi Dr Slaa ametaja neno Usalama wa taifa? Alichosema ni kwamba alikuwa akifuatiliwa. Sasa wewe umekurupuka mithili ya mtu aliyefumaniwa na mke wa mtu! Au wewe ndiye co-ordinator wa tukio hilo nini!!Anachofanya sasa hivi Dr Slaa na wenzake pamoja na Bavicha ni kutafuta huruma kutoka kwa wananchi kusingizia mambo kuwa wanawindwa na Usalama wa Taifa wauawe.
Madai ya Dr Slaa kuwa walikuwa wanafuatiliwa na gari ambayo wameipiga picha si wawake hiyo picha basi kuliko kuja na porojo. Madai ya aina hii mbali ya kuwa madai ya uongo, pia yanaonyesha upeo mdogo wa viongozi wa Chadema.
Bavicha akili zao vituko sana. Hivi habari sensitive kama hii ni ya kuletwa na ID ambayo siyo verifies kweli?
Kesho utasikia kiongozi mmoja wa chadema anasema hiyo namba ya gari lililotajwa lilikuwa lake na kwamba habari imelengwa kumchafua.
Wewe mleta mada kwa vile unajua mambo tokea Iringa mpaka Dar es Salaam maana yake ulikuwa na Dr. Slaa sasa kwanini usichukue responsibility ya kusema kilichotokea?
Kinachochekesha zaidi vijana wa bavisha hapa washaingia line tayari. Yaani mlaghaika kilaiiiiiiiiini...
Af kwa kwann slaa ana tabia ya kuandika makosa mengi hivi katika maelezo yake, katibu mkuu gani wa chama anakosa umakini katika uandishi, yaani typing errors kibao pamoja na udhaifu wa kimantiki wa maelezo yake. Arekebishe hili