master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Dear Dr. Slaa
Kwanza kabisa nikupe pole kwa safari iliyo kuwa imeghubikwa na hofu na mashaka, lakini nimefarijika sana kusikia mlifika salama na mapambano yanaendelea;
Pili nikupongeze kwa kazi ngumu uliyoikamilisha mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya kiasi ambacho hata vipofu wameona. Mungu akubariki.
Dr. Slaa huu ni ujumbe wangu kwako;
Bahari ya shamu haikuwazuia wana wa Israel kuvuka kwenda nchi ya ahadi (kanani), tena ukuta wa Yeriko haukumzuia Yoshua kusonga mbele na wana wa Israel, Pia mto Yordani haukumzuia Eliya kuvuka ngambo, wala jiwe kubwa kwenye kaburi halikumzuia YESU asifufuke. Hivyo basi ni dhahiri hakuna awezae kuzuia mipango ya Mungu Juu ya Maisha yako.