Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

Dr.W.Slaa tunakushukuru sana kwa kutoa comment kuhusiana na hili.Hata nilipopata habari hii nilisita kuiweka humu na MODS walifunga huu mjadala huu kulinda Credibility ya JF.

Poleni sana kwa haya yaliyotokea.Mjadala huu upo kwenye mitandao mingi sana

Taifa linaelekea kubaya kweli kweli.Sisi wananchi tutasimama nanyi siku zote

CC:Molemo Shardcole, Mzito Kabwela, Matola, Mzee Mwanakijiji Mohamedi Mtoi Ben Saanane Mikael P Aweda Nicas Mtei TIMING, Lwesye, Froida Magesi, King'asti FirstLady1 Crashwise Mungi, LiverpoolFC Tumaini Makene Suzie Josephine03 Waberoya , jmushi1 Kichuguu n.k
Tumekupata kamanda tuko pamoja tunaelekea kushinda vita hii
 
Last edited by a moderator:
naweza declare kusema kwamba, SINA IMANI NA RAISI WA TANZANIA NA SERIKALI YAKE KWA UJUMLA, na pia mimi najihisi kama sina Raisi. kwakua haonyeshi jitihada zozote za kunisaidia mimi raia wa taifa analotawala pale ninapokua kwenye tabu. Huyu mkwe.re naanza kumfananisha na Assad wa Syria. Hana huruma kabisa kwa Raia zake ambao ndio waliomuongezea kura kujazilia zile alizoiba kwenye eleksio
 
WanaJF,

Mimi Dr Slaa ambaye kwa siku 4 nimekuwa na ziara ya mkoa wa Iringa,Mbeya na Njombe nilikuwa narudi Dar jana baada ya kulala Iringa mjini kutokea Njombe.

Tukio linaloelezwa ni la kweli na nimelishuhudia mwenyewe. nimeingia kwa jina langu na ID yangu ili kuondoa dhana ya Spinning.
Namshukuru sana aliyetoa Taarifa, na kuliwasilisha kama ilivyotokea bila kuongeza wala kupunguza kitu.

Tuliondoka Iringa majira ya saa 3.30 hivi. Kwa mwanzo hatukutambua kitu, ila mara ya kwanza tuliona gari hilo likitupita kwa kasi km kama 20 hivi baada ya kupita junction ya Ipogolo. Tuliona kawaida. katika hatua hiyo tulijua ni wasafiri wenzetu. baadaye tukawa tunawapita, wanatupita kasi na kupotea, lakini baada ya muda tunawakuta na kutupisha. hatukustuka sana, japo kuanzia Ilula tukaanza kuulizana.

Mlima Kitonga wakatipita kwa kasi sana japo mbele yetu kulikuwa na semitrela kama 4 zikiteremka pole pole sana na nabasi 2 kwenye kona moja basi lililpkuwa mbele yetu kikakwaruzwa na lori lililokuwa lunapanda. Tukachukua tahadhari sana.

Tulipovuka daraja la Mtp Ruaha tukalikuta Lcruiser hiyo imesimama pembeni lakini abiria wake wote walikuwa ndani. tulipolikaribia likaondoka kwa kasi. kidogo tulistuka. sisi tukaamua makusudi kusimama na kununua vitunguu. Tulipofika Mikumi mjini tukalikuta tena likienda taratibu. kuanzia hapo tukawa makini sana hasa kwenye kona na au vichaka vikubwa. kimsingi tukajiweka kwenye hali ya tahadhari kubwa.

Moro tuliingia Petrol Station nao pia wakaingia nyuma yetu lakini hawakujaza mafuta. Punda wakaondoka direction ya Dodoma. Ikumbukwe sisi tumetoka Njombe tumetangaza tunaenda Kongwa ,Jimbo la Ndugai. mimi nikakapata dharura nikapaswa kurudi Dar. hivyo baada ya mufuta tukafuata direction ya Dar. Punde likatokeza tena na kutupita. Tukalipita kidogo kabla ya Chalinze. Baada ya Chalinze hatukuliona tena mpaka tulipolikuta Junction ya Tamko limepaka. mata nyibgine huwa natumia hiyo junction badala ya kuingia Jijini. Na kweli driver akapiga indicator nyingie hapo. nikaagiza tuelekee jijini Dar. ndipo ghafla nao wakaingia barabarani nyuma ya gari langu kabisa. ndipp nikaagiza afisa wangu apande juu ya gari letu -roof top na kulipga picha. kuona hivyo ghafla likatoka pembeni na kupaki. sisi tukaendelea, ndipo mbele kidogo tukakuta askari walioko zamu yao ya kawaida wakatusimamisha na tukawapa taarifa ya halu hiyo.

Sasa katika mazingira hayo kuna mtu bado anafikiria ni spinning anaweza kuamini hivyo hatuwezi kumlazimisha.

Natumaini nimefafanua ya kupotosha. Nawashukuru wote waliotupa pole. Tunaanza na Mungu tunabaki na Mungu. Hatumwogopi Binadamu na mapambano ya ukombozo hayatakoma kwa vitisho vya aiina hiyo, ndiyo kwanza vinatupa ari na mori.

kudos! Rais wangu
 
Dr.hao inawezekana walikuwa wanataka kukuzuru lakini kwa upande mwingine wa shiling ilimradi umefika salama na hawajakuzuru kitu basi inawezekana hao walikua wanakuescoti kwa ajili ya usalama wako,walikua wanakulinda usidhuriwe na mtu manake wanajua ukipata madhara yeyote hata kwa bahati mbaya italeta shida kwa wananchi
 
WanaJF,

Mimi Dr Slaa ambaye kwa siku 4 nimekuwa na ziara ya mkoa wa Iringa,Mbeya na Njombe nilikuwa narudi Dar jana baada ya kulala Iringa mjini kutokea Njombe.

Tukio linaloelezwa ni la kweli na nimelishuhudia mwenyewe. nimeingia kwa jina langu na ID yangu ili kuondoa dhana ya Spinning.
Namshukuru sana aliyetoa Taarifa, na kuliwasilisha kama ilivyotokea bila kuongeza wala kupunguza kitu.

Tuliondoka Iringa majira ya saa 3.30 hivi. Kwa mwanzo hatukutambua kitu, ila mara ya kwanza tuliona gari hilo likitupita kwa kasi km kama 20 hivi baada ya kupita junction ya Ipogolo. Tuliona kawaida. katika hatua hiyo tulijua ni wasafiri wenzetu. baadaye tukawa tunawapita, wanatupita kasi na kupotea, lakini baada ya muda tunawakuta na kutupisha. hatukustuka sana, japo kuanzia Ilula tukaanza kuulizana.

Mlima Kitonga wakatipita kwa kasi sana japo mbele yetu kulikuwa na semitrela kama 4 zikiteremka pole pole sana na nabasi 2 kwenye kona moja basi lililpkuwa mbele yetu kikakwaruzwa na lori lililokuwa lunapanda. Tukachukua tahadhari sana.

Tulipovuka daraja la Mtp Ruaha tukalikuta Lcruiser hiyo imesimama pembeni lakini abiria wake wote walikuwa ndani. tulipolikaribia likaondoka kwa kasi. kidogo tulistuka. sisi tukaamua makusudi kusimama na kununua vitunguu. Tulipofika Mikumi mjini tukalikuta tena likienda taratibu. kuanzia hapo tukawa makini sana hasa kwenye kona na au vichaka vikubwa. kimsingi tukajiweka kwenye hali ya tahadhari kubwa.

Moro tuliingia Petrol Station nao pia wakaingia nyuma yetu lakini hawakujaza mafuta. Punda wakaondoka direction ya Dodoma. Ikumbukwe sisi tumetoka Njombe tumetangaza tunaenda Kongwa ,Jimbo la Ndugai. mimi nikakapata dharura nikapaswa kurudi Dar. hivyo baada ya mufuta tukafuata direction ya Dar. Punde likatokeza tena na kutupita. Tukalipita kidogo kabla ya Chalinze. Baada ya Chalinze hatukuliona tena mpaka tulipolikuta Junction ya Tamko limepaka. mata nyibgine huwa natumia hiyo junction badala ya kuingia Jijini. Na kweli driver akapiga indicator nyingie hapo. nikaagiza tuelekee jijini Dar. ndipo ghafla nao wakaingia barabarani nyuma ya gari langu kabisa. ndipp nikaagiza afisa wangu apande juu ya gari letu -roof top na kulipga picha. kuona hivyo ghafla likatoka pembeni na kupaki. sisi tukaendelea, ndipo mbele kidogo tukakuta askari walioko zamu yao ya kawaida wakatusimamisha na tukawapa taarifa ya halu hiyo.

Sasa katika mazingira hayo kuna mtu bado anafikiria ni spinning anaweza kuamini hivyo hatuwezi kumlazimisha.

Natumaini nimefafanua ya kupotosha. Nawashukuru wote waliotupa pole. Tunaanza na Mungu tunabaki na Mungu. Hatumwogopi Binadamu na mapambano ya ukombozo hayatakoma kwa vitisho vya aiina hiyo, ndiyo kwanza vinatupa ari na mori.

Msikubali kulaghaiwa na Dr. Slaa.

Note kuwa hajataja namba ya gari. Hii ni kujaribu kujiweka mbali na responsibility za huu uzushi.

Hii simulizi ni sawa Dar Express lifike Arusha halafu waseme Scandnavia lilikuwa linatufuata!

Weka picha ya gari hapa tulione.
 
Sure mkuu. Ukiangalia kwa makini, maelezo ya dr slaa yamekuwa mepesi mno na hayana uthibitisho wowote kusupport hoja yake. Alikuwa kwa id fake akapost. Alipoona anashambuliwa sana akaja kwa id yakekudai kufafanua kumbe ndo analikoroga
 
Dr slaa, humu waachie vijana uliowaajiri tucheze nao. Wewe humuwezi. Ona sasa unavyoaibikwa kwa maelezo yasiyo na evidence hata moja.
 
Tunaona, tunasikia na tunashuhudia udharimu mwingi sana ukifanyika dhidi ya wanyonge wa Tanzania na watetezi wao. Ninadhani sasa kama ni kusikia na kuona tumesikia na kuona mengi yakipangwa na kutekelezwa kibabe. Hii ni kutokana na serikali kudharau uma wa Watanzania kwamba ni wajinga, waoga na maskini wasiokuwa na uwezo wa kufanya chochote. Ni watu wa makelele lakini hawana vitendo. Tutalendelea kushuhudia mipango dharimu ikitekelezwa hadi lini? Ni kweli kwamba hakuna cha kufanya zaidi ya kupiga kelele ambazo zilishasemwa ni zua chura wala hazimzuii ng;ombe kunywa maji?Naomba sana Watanzania tuungane pamoja na kuliona hili kwamba tatizo letu si vyama vya siasa wala si umaskini na ujinga wetu. Tufugnuke tu kwa hatua hii moja na kuona kwamba kinachotusumbua ni kiongozi mkuu wa serikali ilyoko madarakani. Huyu mtu angekuwa ni binadamu mwenye kujali, asingefurahishwa na kusimamia uharamia huu. Na kama asingekubaliana waliochini yake pia wangefuata nyayo zake hata kama ni kwa unafiki. Viongozi wa vyama vya siasa, bunge, serikali na sekta binafsi wangecheza ndani ya mfumo ule ule wa kuchukia na kukemea ufirauni kwa dhati.Sasa kwa kuwa hali ni kama hivi, nidhahiri kwamba sasa Watz tunamalizwa mmoja mmoja. Na pasipo kufanya jambo mwaka 2015 ni mbali na hadi uchaguzi nchi hii itakuwa imebakia na wale wanafiki kwa jk bila kujali elimu, wala vyama na hivyo kuendelea kwa ubeberu huu wa ki mafia tunaouona.NINANOMBA SASA WATANZANIA TUFIKA MAHALI TUACHE KUPIGA KELELE ZILIZODHARAULIWA NA AMBAZO HAZIATHIRI KITU ZAIDI YA KUSABABISHA MAUMIVU KWA KILA MSEMAJI NA FAMILIA YAKE NA KUACHA NCHI PAISPO WATETEZI.NINAOMBA NDUGU ZANGU TUPASHANE HABARI HAPA KWA SASA NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA ZA VITENDO. NAOMBA TUAMBIZANE KWA KUZINGATIA HAKI ZA KUISHI ZA KILA MTU, NI HATUA GANI SASA TUNATAKIWA TUCHUKUE , HATUA ZA MWANZO. KUSEMA KUMESHINDWA. NA HATUA YA PILI IWE IPI NA NGAZI INAYOFUATA NI IPI ILI KUHAKIKISHA TANZANIA HURU YA WATANZANIA INAPATIAKANA.
Wana wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400 hadi Mungu alipoamua- sasa basi!.Naamini,Iwapo kweli watu wanyonge wa taifa hili wamechoka,wamlilie Mungu angalau siku moja tu!Wafunge kula na kunywa,Mungu atatenda na kama kipindi cha Yoshua,kuta za Yeriko zitaanguka!Kama watu hawajachoka,ni vigumu sana kutokea mabadiliko yoyote!Watazidi kuzaliwa wanafiki na wasaliti ambao mwisho wa siku ndio watakaokuwa wahanga wa siasa za visasi ambazo zina hatari ya kuzaa waasi!Mkabidhini Mungu njia zenu naye atazithabitisha.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sure mkuu. Ukiangalia kwa makini, maelezo ya dr slaa yamekuwa mepesi mno na hayana uthibitisho wowote kusupport hoja yake. Alikuwa kwa id fake akapost. Alipoona anashambuliwa sana akaja kwa id yakekudai kufafanua kumbe ndo analikoroga

Dr. Slaa tangu ufisadi wake ufahamike hoja ya ufisadi anaona hata aibu kuiongelea kwahiyo anabuni njia mbalimbali za kulaghai vijana. Ila njia hii anayotumia sasa sidhani kama ina manufaa.

Unasema umepiga picha gari, lakini picha hiyo hujapeleka polisi wala hapa hujaileta. Sasa picha umepiga ya nini? Namba za gari hajazithibitisha. Hii sio bahati mbaya, ni makusudi tu ili later aseme yeye hakulitaja hilo gari pale itakapogundulika kuwa namba hizo wanazotaja ni za gari gani na muda huo wanaosema lilikuwa kwenye shughuli gani.

Ila unfortunately kuna vijana wanalaghaika kwa vimbinu vya namna hii!!!
 
WANABODI,

Usalama wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upo hatarini.Akiwa njia ni kutokea Iringa, Dr. Slaa amefuatiliwa na Gari aina ya Landcruiser yenye vioo vya giza (Tinted) lenye namba za usajili T963 ABN. Awali waliokua ndani ya gari la Dr. Slaa hawakushtuka sana japo waliona kuna mchezo wa gari hilo kuwapita kwa kasi na kisha kupunguza mwendo ghafla na kisha gari la Dr. Slaa kuwapita tena.Walichukulia kama vile ni mchezo wa kawaida hadi walipofika Morogoro na kushtuka zaidi na kuanza kuchukua tahadhari kwa kunakili namba ya gari hilo

Walipofika kibaha ilibidi watoe taarifa kwa askari wa usalama barabarani.

Dr. Slaa na maofisa wa chama akiwemo afisa habari walishtuka zaidi walipofika njia panda ya Tamko-Bunju ambayo mara nyingi hutumika kunapokua na foleni kubwa ya maghari(Traffic Jam) na kulikuta gari hilo likiwasubiri

Baada ya kufuata barabara kuingia jijini Dar Es Salaam gari hiyo ghafla ikaingia nyuma ya gari aliyokua akitumia Dr. Slaa aina ya Landcruiser yenye namba za usajili namba T834 BJG. Ndipo afisa wake aliyekua ndani ya gari akapanda juu (Roof Top) na kufanikiwa kulipiga picha gari hilo.

Kuona hilo likifanyika gari hilo likapaki pembeni na ghafla likaondoka na kupotea hadi muda huu walipoingia Ubungo.

Sasa katika mazingira haya taifa linaelekea wapi? Kama watu wanafuatiliwa na kufanyiwa vituko mchana kweupe usalama wa Watanzania na hasa wanaharakati na viongozi wa upinzani Tanzania uko wapi? Mambo haya ni bora yafahamike mapema na watanzania wayajue. Hili ni tukio lisilo la kawaida kipindi hiki ambacho umma umekosa imani (loose confidence) na vyombo vya dola vinavyotumika kwa matakwa ya kisiasa.

Kuna matukio kadhaa yametokea miaka na miezi michache iliyopita yanayotoa taswira mbaya juu ya usalama wa raia na baadhi ya viongozi wanaokosoa utawala. Siku za karibuni Viongozi wa CHADEMA wamekua wakiwindwa sana na tayari chama hiki kikuu cha upinzani kilishatoa tuhuma kwa Usalama wa Taifa na baadhi ya viongozi wa juu serikali kuhusika katika mipango haramu ya kukihujumu chama hicho na hata kufikia hatua ya kuwabambikia kesi viongozi wake.

Ni wakati sawia wa kupeleka mashitaka katika baraza la usalama la umoja wa mataifa,taifa sasa lina freemasonry ambao wana hamau na damu za raia wema,haivumiliki
 
Cha ajabu ni kwamba mkwer..e hajui kama nchi imemshinda....

Baba MwanaASha hana habari na vitu visivyo na maslahi kwake,yeye kazi kubwa aliyonayo siku hizi ni kukaba 10% za mikataba ya gesi na ndio maana kila safari za nje hamuachi maziri wa nishati na madini!!
 
Hizi mbinu za dokta ache mambo yake bwana watanzania wanaona si vipofu na mfa maji haishi kutapatapa.
 
Hivi hakuna na ya kujua hii number T963 ABN. ina milikiwa na nani kama ilivyo number za simu?isije kuta ni wazee wa makumbusho~
 
dr mpaka 2015 utakuwa umezua magapi kila kukicha unalako jipya muogope mungu pia wakatoriki si waongo kiasi hicho kumbuka wewe ni padri.
 
nani amfatilie huyo babu ameshajichokea tangu zamani anaganga njaa tu hapo kinondoni
 
mzee slaa anjikaba mwenyewe hizi mbinu anazosema zimetumika kumfuatilia hizi ni mbinu zake anazotumia kumfuatilia mama yake zito aseme vizuri uongo si mzuri.
 
Dr. Wa ukweli usife moyo kwani penye mafanikio hapakosi changamoto kama hizi na mwisho wake mafanikio yatakuwepo mfano mzuri ni NELSON MANDELA wakati akipigania uhuru wa south afrika
 
Hivi hakuna na ya kujua hii number T963 ABN. ina milikiwa na nani kama ilivyo number za simu?isije kuta ni wazee wa makumbusho~

mkuu nenda mamlaka ya mapato utaijua hii numba ila usishangae ukikuta yako au ya zito.
 
Back
Top Bottom