Mohamed R
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 2,232
- 426
You seem to be too desperate for power!!
Uongozi mwanana wa kuongoza jamii unakuja automatically kwa mapenzi ya waongozwa. Mwl. Nyerere alisema kiongozi mzuri ni yule asiyetaka kuongoza. Ninyi kwa sasa inavyoonekana mnataka kuongoza kwa hali na mali.
Hizi spinning mnazozianzisha zitakuja kuwarudieni ninyi wenyewe. Historia ya chaguzi nyingi za nchi za Afrika imebainisha hili. You're setting the spinning bar very high kiasi kwamba hata mkiingia madarakani hamuwezi kuwapa wananchi kile mnacho spin kucha kutwa kama kinawezekana. otherwise, tunaanza kuona kama mko na mission za kutaka kujinufaisha kibinafsi
Nchi yenye amani zaidi ya miaka 50 na yenye rasilimali kuliko zote afrika mashariki, leo wananchi wake ni maskini zaidi hata ya Rwanda? nchi iliyokuwa na vita miaka kadhaa. Kuna Mbunge mmoja alisema Tanzania ni maskini kuliko Rwanda akashambuliwa sana na kuambiwa hana data, wenye data wakapinga leo watu wa Dunia ya kwanza wameongea labda na wao hawana Data. Kama huna kumbukumbu kaombe wakukukumbushe unaowaamini wenye Data.
Huenda unachoongea ni yale yale ya kutupilia mbali Hoja za Mbatia leo wameanza kuunda tume, Pia Hoja ya Mnyika leo wale wale wanagomea bajeti. Huu kama sio uendawazimu ni nini? Wenye akili na watoa ahadi zinazoweza kutekelezwa (Zisizo Hewa) Hebu tuchambulieni. PIa pitia hapa Bunge lakwamisha bajeti ya maji na Wabunge CCMhalafu hawa wabunge wanavyosema hewa ni wa CDM au naye wanatudanganya kuwa si hewa ni maji, Au wakati wanatupa hoja bunge lililopita maji yalikuwepo na leo yamekauka ndio maana wanafanya hivi, otherwise na wao ni CDM wasiokubali mazuri ya yanayofanywa na serikali?