ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
What are you talking about?
Hayo ya EPA, RICHMOND unayosema yameletwa hapa jf na kuwa backed up by hard evidence.
Jf siyo kijiwe cha kahawa kama unataka habari yako watu wenye fikra pevu waiangalie kwa macho mawili na waichukue serious.
Ulicholeta hapa ni kama udaku ambao unaweza kuokota sehemu yoyote ile.
Unamuona Dr. Slaa hapo chini na yeye anafutailia mjadala kwa ile ID yake nyingine?
Hawa jamaa sijui wamedata!!!