Simbulisi,
Namshukuru sana Mungu. sioti ndoto mchana kama wewe. Endelea kupoteza muda wako kwenye mitandao. Kama wanakulipa uendelee tu kukwapua.
1. Urais unauota wewe! Lini, ukiacha wakati halali wa Kampeni, Dt Slaa nimezungumzia Urais. kwa Taarifa yako na ya watu wa aina yako, haunisumbui
na wala hautanisumbua kamwe. uroho huo sina, ila bila kukuficha nina uchungu na Taifa langu. Ninawaonea huruma vijana kama wewe waliopoteza dira na kuuZa taifa lao kwa ajili ya vijipesa na kukubali kudhalilisha utu na ubinadamu wao. Ninawaonea huruma Watanzania eanaoishi maisha magumu hata baada ya kudanganywa kwa ahadi ya "maisha bora...". Ninawaonea huruma Watanzania wabaopitia manyanyaso ya kila aina kwa ajili ya ujinga wa wachache wa aina yako. Ninawaonea vijana wasio na matumaini katika nchi yao, pamoja na utajiri wote wachache wanejumbatia ufisadi, uwizi wa mali na rasilimaliza Taifa lakini wachache kama ilivyo kwenye historia wamesaliti na kuhaini wenzi wao kwa kuweka maslahi yao mbele.
2. Inawezekana ni ujuha tu, au kiwango cha elimu. mimi nina ripoti tukio nililoliona kwa zaidi ya masaa takriban 6 kati ya Iringa na Kibaha. ni Ujuha tu, au ujinga uliokubuhu, au u mercenerary, au wewe ulukuwepo ndani ya gari hilo na hivyo ni sehemu ya mpango. katika akili ya kawaida unaweza kubishana vipi na eye witness kama si ujuha, au si sehemu ya mpango huo?
3, Narudia tena, nina kazi mmoja tu Chadema, kujenga Chadema imara kijiji kwa kijiji na sina kaxi ya kusaka Urais. nina kazi ya kuwaelimisha watanzania kuwa umaskini ulio kubuhu hautokani na Mungu Bali sera na maamuzi nabovu ya Chama Tawala na walafi wachache wanaolifilisi Taifa letu kama hao kila leo wanasafirisha meno ya Tembo wakati usalama wako kibao, polisi waliopewajukumu la kulinda rasilumali zetu wakusaliti viapo vyao n.k Bila kuchoka, bila unafiki na bila kumumunya maneno, pamoja na uzre wangu kwani naamini uzee ni busara na hekima nitapita kila kona ya nchi kusaka ukombozi wa pili. kama wewe urais ubakuzingua si mimi. Hilo ni jukumu la chama kwa mujibu wa katiba, kanuni na Taratibu za Chama chetu.
OTE=simbilisi;6232679]shame on you too....
Hivi slaa do u have a gut to think , hope , aspire or even dreaming that you gonna make good president?
mtu gani akuue wewe mchana kweupe? we have vide cameras, from our smart phones, we have backup of every technology....huyo wa kukuua wewe so openly kiasi hicho ni nani? kwa nini unajivisha ujinga na uwehu kwa mawazo na mitaji ya kitoto?
mwenzako mbowe ana walinzi, whats makes you huna walinzi? walau mmoja ungemshusha afuatilie hilo gari? HAUKUWA NA WATU kutoka makao makuu (kikosi chenu cha ulinzi) kifuatilie hata kumuhoji huyo dereva?? tangu iringa??? hata kama umegundua ukiwa morogoro bado walinzi wenu walikuwa na uwezo wa kumkamata huyu mtu.......SASA KAMA HAUNA AKILI NDOGO KAMA HII UKIWA RAIS utafanyaje? you are far worst than what we have now.....
Slaa pengine unazeeka vibaya, but please try to collect youself and organise your logic skills, please no one can buy this ----,,,,I mean no one can board in this vehicle made by you
wa kuku support wewe ni wenye akili kama zako, wasioweza kufikiri
wanachadema, it was better mngemkaripia huyui rais wenu maana hatumii ubongi