OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Sijui Taifa hili linaelekea wapi katika mazingira kama haya
linaelekea wanakolielekeza ccm ni jukumu letu kubadilisha uelekeo huo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Taifa hili linaelekea wapi katika mazingira kama haya
Dr. Slaa kashajikatia tamaa...[/QUOTE
J.K saivi yeye ni ughaibuni tu Bongo akahi anaona kama 2015 Mbali sana mzee kweri ccm ni Chukua Chako Mapema!!!
Ndiyo kwa kweli wewe ni mvivu! soma angalau majibu ya Slaa mwenyewe!Kijana saa nane.
Naona unasema huna mda wa kujibu na umesema huu ni upuuzi. sasa wewe kama sio mjinga kwanini muanzishe thread halafu msijibu vitu vya msingi?
Hivi unadhani watu wote wanachukuliwa kirahisi kwa maneno yako yasio na mantiki yeyote.
Sikia kijana Mimi wala sio mgomvi nilivyosema msipo jibu hayo wewe na Slaa mtakuwa wajinga Full stop.
Thread hii nimeifuatilila mwanzo mwisho majibu hayajatolewa.
Hebu kanusha kuwa hili gari ni la CDM.
[/QUOTE]Chamviga,
You urgently need to avail yourself the setvices of a pschoanalist. It is clear you are suffering from disorders that need to be immedoately attended. i have expressed clearly that I have never in my life time, here at JF or any othet forum used hidden ID. and have no reason to do so today. Neither di i have any cause to appeal to sentiments or sympathy if Tanzanians i have been to many villages, they understand the language articulated by Chadema, not only Dr Slaa. Chadema is now deeplt rooted as an Institution, Ni orchestration needed.
UOTE=CHAMVIGA;6232601]Dr amekua akicheza na akili za watu (psychological games) hasa kwa vijana ambao hawana kazi ya kufanya na kuwapa riziki kutokana na uvivu na bangi nyingi.
Kutokana na juhudi za watanzania wazalendo kuwaelimisha unafiki na motive behind cdm na chama kupungua kasi yake ya kukubalika ikabidi watengeneze matukio yakuwafanya watu wawaonee huruma.
DR SLAA KATENGENEZA ID YA BARC. NA KUJA GHAFLA KUTENGENEZA MOVE ITAKAYOFUATIA BAADA YA TUKIO LA MAMA ZITTO KUVAMIWA.
BEN SAA8 ALIPOKEA AGIZO KUTOKA KWA SLAA ATENGENEZE MOVE HII KWA ID MPYA ILIYOPOST UZI HUU.
Dr. Slaa kashajikatia tamaa...
Dr. Slaa kashajikatia tamaa...
Dr amekua akicheza na akili za watu (psychological games) hasa kwa vijana ambao hawana kazi ya kufanya na kuwapa riziki kutokana na uvivu na bangi nyingi.
Kutokana na juhudi za watanzania wazalendo kuwaelimisha unafiki na motive behind cdm na chama kupungua kasi yake ya kukubalika ikabidi watengeneze matukio yakuwafanya watu wawaonee huruma.
DR SLAA KATENGENEZA ID YA BARC. NA KUJA GHAFLA KUTENGENEZA MOVE ITAKAYOFUATIA BAADA YA TUKIO LA MAMA ZITTO KUVAMIWA.
BEN SAA8 ALIPOKEA AGIZO KUTOKA KWA SLAA ATENGENEZE MOVE HII KWA ID MPYA ILIYOPOST UZI HUU.
Ninawaambia, they are setting political spinning bar too high mpaka kwa sasa zinaanza kuonekana ni spinning za kitoto.
Huwezi kutafuta uongozi kwa nguvu nyingi za aina hii.
Je, kuna mke wa mtu yeyote mliyempa lift?
Hata Mahimbo enzi zile angekuwa anafuatilia nyendo za mke wake Josephine wangesingiziwa TISS...
[/QUOTE]Simbulisi,
Namshukuru sana Mungu. sioti ndoto mchana kama wewe. Endelea kupoteza muda wako kwenye mitandao. Kama wanakulipa uendelee tu kukwapua.
1. Urais unauota wewe! Lini, ukiacha wakati halali wa Kampeni, Dt Slaa nimezungumzia Urais. kwa Taarifa yako na ya watu wa aina yako, haunisumbui
na wala hautanisumbua kamwe. uroho huo sina, ila bila kukuficha nina uchungu na Taifa langu. Ninawaonea huruma vijana kama wewe waliopoteza dira na kuuZa taifa lao kwa ajili ya vijipesa na kukubali kudhalilisha utu na ubinadamu wao. Ninawaonea huruma Watanzania eanaoishi maisha magumu hata baada ya kudanganywa kwa ahadi ya "maisha bora...". Ninawaonea huruma Watanzania wabaopitia manyanyaso ya kila aina kwa ajili ya ujinga wa wachache wa aina yako. Ninawaonea vijana wasio na matumaini katika nchi yao, pamoja na utajiri wote wachache wanejumbatia ufisadi, uwizi wa mali na rasilimaliza Taifa lakini wachache kama ilivyo kwenye historia wamesaliti na kuhaini wenzi wao kwa kuweka maslahi yao mbele.
2. Inawezekana ni ujuha tu, au kiwango cha elimu. mimi nina ripoti tukio nililoliona kwa zaidi ya masaa takriban 6 kati ya Iringa na Kibaha. ni Ujuha tu, au ujinga uliokubuhu, au u mercenerary, au wewe ulukuwepo ndani ya gari hilo na hivyo ni sehemu ya mpango. katika akili ya kawaida unaweza kubishana vipi na eye witness kama si ujuha, au si sehemu ya mpango huo?
3, Narudia tena, nina kazi mmoja tu Chadema, kujenga Chadema imara kijiji kwa kijiji na sina kaxi ya kusaka Urais. nina kazi ya kuwaelimisha watanzania kuwa umaskini ulio kubuhu hautokani na Mungu Bali sera na maamuzi nabovu ya Chama Tawala na walafi wachache wanaolifilisi Taifa letu kama hao kila leo wanasafirisha meno ya Tembo wakati usalama wako kibao, polisi waliopewajukumu la kulinda rasilumali zetu wakusaliti viapo vyao n.k Bila kuchoka, bila unafiki na bila kumumunya maneno, pamoja na uzre wangu kwani naamini uzee ni busara na hekima nitapita kila kona ya nchi kusaka ukombozi wa pili. kama wewe urais ubakuzingua si mimi. Hilo ni jukumu la chama kwa mujibu wa katiba, kanuni na Taratibu za Chama chetu.
OTE=simbilisi;6232679]shame on you too....
Hivi slaa do u have a gut to think , hope , aspire or even dreaming that you gonna make good president?
mtu gani akuue wewe mchana kweupe? we have vide cameras, from our smart phones, we have backup of every technology....huyo wa kukuua wewe so openly kiasi hicho ni nani? kwa nini unajivisha ujinga na uwehu kwa mawazo na mitaji ya kitoto?
mwenzako mbowe ana walinzi, whats makes you huna walinzi? walau mmoja ungemshusha afuatilie hilo gari? HAUKUWA NA WATU kutoka makao makuu (kikosi chenu cha ulinzi) kifuatilie hata kumuhoji huyo dereva?? tangu iringa??? hata kama umegundua ukiwa morogoro bado walinzi wenu walikuwa na uwezo wa kumkamata huyu mtu.......SASA KAMA HAUNA AKILI NDOGO KAMA HII UKIWA RAIS utafanyaje? you are far worst than what we have now.....
Slaa pengine unazeeka vibaya, but please try to collect youself and organise your logic skills, please no one can buy this ----,,,,I mean no one can board in this vehicle made by you
wa kuku support wewe ni wenye akili kama zako, wasioweza kufikiri
wanachadema, it was better mngemkaripia huyui rais wenu maana hatumii ubongi
Huu muda wa kujibu maswali haya ya kipuuzi niupate wapi?Usiwe mvivu wa kusoma.Yote hayo uliyouliza usingekurupuka kuyarudia wakati yalishajibiwa tangu mwanzo wa thread.Labda kichwa chako ni kizito sana kuelewa.Pole