Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

Pole Dr. Slaa. .......ila inatakiwa uwe na kijana atakayekua anakuandikia utakachotaka ku-post. JF is full of vituko... hawatoacha kukutania
 
Mzalendo ni yule anayetaka tuwe na taasisi imara zinazofanya kazi kwa weledi.Unasema unapinga udini na vyama kuwa mbele ya maslahi ya taifa lakini wakati huo huo unaitetea taasisi ya usalama inayotanguliza maslahi ya chama mbele na kutumika kupandikiza mbegu za udini kwa maslahi ya kisiasa na kushindwa kutoa ushauri makini kwa rais.

Taasisi ambayo inamuelekeza waziri kwenda kutoa tamko juu ya nani achinje?

Taasisi iliyoruhusu fedha za EPA zichotwe na kutumika kwenye kampeni za uchaguzi kwa chama tawala huku wakishindwa kumshauri rais juu ya umuhimu wa kufuata utawala bora wa sheria ili wahusika waburuzwe mahakamani badala yake Rais akawaambia warudishe.Ni picha gani hii iliyojengwa kwa vibaka wa mitaani?

Kwamba unasema tukubali ushauri?Nitakishangaa CHADEMA kama kitakubali kila ushauri hata ule wa kipumbavu,tutakua hatuna tofauti na watawala tulio nao wanaoshauriwa kutoa maagizo ya kiserikali kwenye masuala ya dini na kusamehe wazi wa mali za umma.

CHADEMA kinapenda ushauri wenye tija ndiyo maana kuna kitengo cha utafiti na sera ambacho kinaongozwa kwa weledi.Professional consultancy ni nguzo kuu katika utendaji wake hasa yale yanayohitaji professionalism.Make no mistake!

Hilo la CHADEMA kuchukua madaraka linakutisha sana unaandika kwa jazba.Mtaumia wengi ila ni suala la muda tu....na bado.

Nduka,

Hebu soma kwa sauti kubwa hicho ulichoandika hapo.Sometimes it's better to be silent kuliko kujidhalilisha hata kama unatumia ID fake

HAPO KWENYE RED, ben saa8, umenena vyema...kwengine kote umeongea vizuri ila si kwa kiwango kinachokaribia kufanana na weledi wako.....mi sio mtu wa sheria sana, na nilijaribu kupitia sheria ya hicho chombo unachosema nakitetea, sijui kwa comment ipi yangu niliyosema natetea TISS ambayo wewe umerefer, ila sio mbaya, naomba nikujuze kuwa mimi siwezi kukitetea wala kukilaumu chombo ambacho sina hakika kuwa hakikufanya hiyo kazi, kwamba hakikushaur serikali juu ya hayo masuala, coz frankly speaking, hicho chombo si kama polisi, ambao kila wakifanya kitu, kova huita waandishi wa habari na kusema waliyofanya....ama PCCB ambao wakishakamata mtu lazima watangaze, ama jeshi ambalo linatakiwa kutuambia hali ya mipaka yetu kila tunapopata wasiwasi.....hicho chombo kwa ufahamu wangu mdogo ukiongeza na maneno ya Wassira juzi bungeni, wanafanya kazi kwa siri, na ndani ya usiri huo wanaishauri serikali...sasa hadi hapo mwezangu utaponihakikishia kwa ushahidi, kuwa TISS haikuona hayo mambo kabla hayajatokea na kushauri, au pengine walikuwa na nguvu ya kisheria na kikatiba kuzuia kwa kukamata or whatever, you have ma word, ukinihakikishia, nitakuunga mkono hoja zako zote ulizotoa hapo......ahsante kwa kubishana nami kwa hoja, mana mchadema mwengine angekuwa kashanitusi.....
 
Hapo ndio unapochemka ben kuleta habari shekh yahaya kwenye mtandao hazitokusaidia.

Ungekua unathamini social network kiasi hiki ungeingia na ID yako real.

Acha unafiki wako usidhani kwamba hujulikani kama si sheria za JF ningekuvua nguo.hapa na unajua siogopi kuchukiwa na wanafiki
 
Ungekua unathamini social network kiasi hiki ungeingia na ID yako real.

Acha unafiki wako usidhani kwamba hujulikani kama si sheria za JF ningekuvua nguo.hapa na unajua siogopi kuchukiwa na wanafiki

Ben mimi nipo tayari kula Ban kwa ajili yako please kama unaushahidi weka wazi mimi ni nani kisha mods badala ya kukuathibu wewe nitawambia waniadhibu mimi. Katika orodha ya watu waliotembelea profile yangu kaka umetia fola huu ni uwoga wa kujadili issues humu unadhani kila siku ni flani ili upate toka kupitia mgongo wake.
Wewe hautopokelewa popote huko mtaani utabakia na umaarufu wa Jf' tu otherwise usubiri majaliwa ya mungu dr akiwa waziri mkuu unaweza ajili kama mfagia ofisi.
 
Ungejibu hayo maswali aliyouliza Annael kidogo substance ingeonekana katika upuuzi mzima huu wa "kufuatiliwa".
Maswali ya msingi hujibiwa na majibu ya msingi vile vile, amasivyo haingii akilini mtu "kufuatiliwa" kwa kilometa 500 Iringa hadi Dar.
Mimi njia hiyo napita tena mara nyingi sana na kama mtu akitaka kukuteka au kukufanyia uharamia kuna sehemu mbaya sana kama Kitonga, mapori kati ya Comfort na Mbuyuni, na hata kona kona za Ruaha na Iyovi na hata mbugani Mikumi.

Waswahili wanasema mtu mwoga huwa anakufa mara mia.
Hizi crying wolf zina madhara yake maana yakimfika ya kweli hakuna atayeyachukulia serious.

Mr.Whoever you are,

Kujibu upuuzi hakuna faida yoyote zaidi ya kuwachanganya wanaoangalia from periphery.

Ni nani asiyejua siku za karibuni TISS wameamua kuweka kitengo maalumu cha kupambana na kulinda madudu yao kwenye social networks ikiwemo JF?

No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.

Njooni mkutane nasi humu
 
Ben mimi nipo tayari kula Ban kwa ajili yako please kama unaushahidi weka wazi mimi ni nani kisha mods badala ya kukuathibu wewe nitawambia waniadhibu mimi. Katika orodha ya watu waliotembelea profile yangu kaka umetia fola huu ni uwoga wa kujadili issues humu unadhani kila siku ni flani ili upate toka kupitia mgongo wake.
Wewe hautopokelewa popote huko mtaani utabakia na umaarufu wa Jf' tu otherwise usubiri majaliwa ya mungu dr akiwa waziri mkuu unaweza ajili kama mfagia ofisi.

Unadhani kila mtu ni mroho wa madaraka kama wewe na wenzako.

Kwa hali ilivyo sasa mfagia ofisi kwenye serikali yoyote yenye weledi na uzalendo ana heshima kuliko mfanyakazi wa cheo cha juu asiye na uzalendo katika ikulu ya Tanzania.
 
yaleyale ya magesi, lwesye, shadcore, molemo. Haya bwana mwenzenu anapiga kazi hanaga habari na unafiki wenu. He is somebody you are nobody.
 
shame on you too....

Hivi slaa do u have a gut to think , hope , aspire or even dreaming that you gonna make good president?

mtu gani akuue wewe mchana kweupe? we have vide cameras, from our smart phones, we have backup of every technology....huyo wa kukuua wewe so openly kiasi hicho ni nani? kwa nini unajivisha ujinga na uwehu kwa mawazo na mitaji ya kitoto?

mwenzako mbowe ana walinzi, whats makes you huna walinzi? walau mmoja ungemshusha afuatilie hilo gari? HAUKUWA NA WATU kutoka makao makuu (kikosi chenu cha ulinzi) kifuatilie hata kumuhoji huyo dereva?? tangu iringa??? hata kama umegundua ukiwa morogoro bado walinzi wenu walikuwa na uwezo wa kumkamata huyu mtu.......SASA KAMA HAUNA AKILI NDOGO KAMA HII UKIWA RAIS utafanyaje? you are far worst than what we have now.....

Slaa pengine unazeeka vibaya, but please try to collect youself and organise your logic skills, please no one can buy this ----,,,,I mean no one can board in this vehicle made by you

wa kuku support wewe ni wenye akili kama zako, wasioweza kufikiri

wanachadema, it was better mngemkaripia huyu rais wenu maana hatumii ubongi

Mkuu, siyo siri nimesikitishwa saaaaaaaaaaana na bandiko lako; Ni ukweli usio kuwa na chembe ya shaka, post yako inadhihirisha yafuatayo;
  • Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na kiwango chako cha elimu kiko mashakani, siajabu ndio nyie vijana wa Kawambwa mlio zungusha round about mnao lishwa kama misukule kwa posho za Lumumba kwa ajili ya kuporomosha matusi hapa JF.
  • Hujielewi na unaendeshwa na mihemko ya ki-itikadi, kiasi ambacho unashindwa ku-control emotion zako.
  • Huna heshima wala adabu kwa watu wanaokuzidi umri including wazazi wako, Possibly hii imechangiwa na malezi mabovu au ndo wale mnaoitwa watoto wa mitaani mlio zaliwa mitaloni na kukulia stend.
  • Endapo umekubali kutumika ki-fikra, it is probable waweza tumika kimwili pia.

Mkuu ni vyema ukatambua mbali na totauti za ki-itikadi Dr. Slaa ni mzee wa kuweza kukuzaa wewe na vijana wengine wengi wa Lumumba msiojitambua, hivyo ni vyema kuilinda hiyo heshima iliyojengeka mda mrefu, Lakini pia mfahamu ya kuwa CCM na historia yake yaweza kufutika lakini maisha ya Watanzania yataendelea kusonga mbele bila kujali itikadi za vyama vyetu.

Mkuu kwa leo naomba nisikuchoshe; napenda kuwaachia Misukule wa Lumumba ujumbe ufuatao "Watanzania wa leo ni waelewa, siyo wale wa mwaka 47, na hatuwezi yumbishwa na propaganda mfu, ni vyema mkajifunza kujenga hoja na siyo matusi". na Mjiandae psychologically kuwa chama cha Upinzania ifikapo 2015.

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Mungu ibariki CHADEMA na Viongozi wetu.
 
No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.

Pamoja na kwamba sikupendi ila naamini unaakili za kutosha kutambua jema na baya. Mwambieni Slaa hao wanaoitukana CDM wanapata sababu hasa kutokana na huu upuuzi wa kutunga uwongo na kutaka kulazimisha uwe ndio ukweli. Mwambieni ukweli msimtukanishe bure.
 
Mr.Whoever you are,

Kujibu upuuzi hakuna faida yoyote zaidi ya kuwachanganya wanaoangalia from periphery.

Ni nani asiyejua siku za karibuni TISS wameamua kuweka kitengo maalumu cha kupambana na kulinda madudu yao kwenye social networks ikiwemo JF?

No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.

Njooni mkutane nasi humu
Mimi Mr Whoever ni member wa forum hii na nina haki ya kuhoji mantiki ya posti yoyote humu jamvini.
Kama hii posti ingekuwa ya CHADEMA peke yake basi mgepelekeana circular ofisini kwenu kwa faida yenu.

Na the notion kuwa asiyekubaliana na wewe ni aidha TISS au adui wa CHADEMA is basically unsound(sita sema stupid kwa vile mtu una haki ya kutetea chama chako).
Pengine siku mkijaliwa kukamata nchi mtatambua kuwa ili kutawala vema, hoja hata ikiwa ya kipumbavu , hujibiwa na hoja.
 
Mr.Whoever you are,

Kujibu upuuzi hakuna faida yoyote zaidi ya kuwachanganya wanaoangalia from periphery.

Ni nani asiyejua siku za karibuni TISS wameamua kuweka kitengo maalumu cha kupambana na kulinda madudu yao kwenye social networks ikiwemo JF?

No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.

Njooni mkutane nasi humu
Kama hujajibu maswali yangu wewe na Slaa ni wajinga na hamna nia nzuri na nchi yetu.
 
Dr.W.Slaa tunakushukuru sana kwa kutoa comment kuhusiana na hili.Hata nilipopata habari hii nilisita kuiweka humu na MODS walifunga huu mjadala huu kulinda Credibility ya JF.

Poleni sana kwa haya yaliyotokea.Mjadala huu upo kwenye mitandao mingi sana

Taifa linaelekea kubaya kweli kweli.Sisi wananchi tutasimama nanyi siku zote

CC:Molemo Shardcole, Mzito Kabwela, Matola, Mzee Mwanakijiji Mohamedi Mtoi Ben Saanane Mikael P Aweda Nicas Mtei TIMING, Lwesye, Froida Magesi, King'asti FirstLady1 Crashwise Mungi, LiverpoolFC Tumaini Makene Suzie Josephine03 Waberoya , jmushi1 Kichuguu n.k

Najisikia faraja ninapoona bandiko la raisi wangu, long live mimi nimuone Dr. Slaa akiapishwa kwenda magogoni kuwakomboa waliopoteza matumaini kwa utawala wa kidhalimu
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba sikupendi ila naamini unaakili za kutosha kutambua jema na baya. Mwambieni Slaa hao wanaoitukana CDM wanapata sababu hasa kutokana na huu upuuzi wa kutunga uwongo na kutaka kulazimisha uwe ndio ukweli. Mwambieni ukweli msimtukanishe bure.

Sihitaji kupendwa na wanafiki wanaojaribu kuzuia wimbi la mabadiliko na kulisaliti taifa kwani hiyo ni laana kwangu kama mzalendo wa kweli.

So,Keep that love for yourself.
 
Kama hujajibu maswali yangu wewe na Slaa ni wajinga na hamna nia nzuri na nchi yetu.

Unapowaona wakombozi wako ni wajinga huna tofauti na ng'ombe anayepelekwa kula huku akipigwa viboko. Jitahidi kuishirikisha akili yako ikae kichwani mkuu la sivyo utateseka sana
 
niamini ndugu, wakati wa kufa, mtu atatafuta wakumlaumu kwa nguvu zote, mnahitaji ushahidi gani muamini kuwa CDM wana uchu wa madaraka, and for that wako tayari kufanya lolote, kujeruhi yoyote, kuua yoyote kuhakikisha wanakamata madaraka, hivi ni akili mgando kiasi gani kufikiria kumpa lema jambazi mstaafu wizara ya mambo ya ndani?? na nyi vijana wa nchi hii, mnaojiita wasomi mpo tu?? afu kila siku, TISS, Polisi, Jeshi wote ni magamba?? hamjui vyombo vyote hivyo moja ya kazi zake ni kuilinda serikali iliyoingia madarakani kihalali bila ya kujali inatoka chama gani?? mmepewa akili mzitumie, sio mfanye mapambo...
Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.
 
Sihitaji kupendwa na wanafiki wanaojaribu kuzuia wimbi la mabadiliko na kulisaliti taifa kwani hiyo ni laana kwangu kama mzalendo wa kweli.

So,Keep that love for yourself.

This is how intelligent people give their answers. Hata kama sina LIKE unajua nishakupa LIKE yangu, never give up my comrade
 
Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.

School em' Bruh!

Kwa fikra zao finyu na kudumazwa na mfumo wa ndiyo mzee bila kutafuta maarifa kuimarisha weledi wao unapowaeleza ya US watakuambia ni mambo ya nje haha.Wape Reference ya Zambia
 
Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.
Mkuu there is no parallel kati ya US na Tanzania.
If anything is to go by tujaribu ku-uphold democracy hata ndani ya vyama vyetu vya siasa.
Kwa ulinganishi wako tu mshindani ANAYESHINDWA hawezi tena kugombea muhula unaofuata maana kunakuwa na democratic caucassses ndani ya vyama.
Hebu jilinganishe na chama chako cha CHADEMA, viongozi ni wale wale kama shilingi ya mkoloni.And in this respect ingalau hata CCM ime-fare better kwa kubadilisha washindani kila baada ya miaka kumi
 
Unapowaona wakombozi wako ni wajinga huna tofauti na ng'ombe anayepelekwa kula huku akipigwa viboko. Jitahidi kuishirikisha akili yako ikae kichwani mkuu la sivyo utateseka sana
Unajua.
Kwanza Slaa mkombozi wangu kutoka wapi? Kwanza simjui, hanafaida yeyote katika maisha yangu.
Halafu anaposema propaganda tusimuhoji. Tunasema athibitishe na hathibitishi kwann tusimuite mjinga?
 
Back
Top Bottom