Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzalendo ni yule anayetaka tuwe na taasisi imara zinazofanya kazi kwa weledi.Unasema unapinga udini na vyama kuwa mbele ya maslahi ya taifa lakini wakati huo huo unaitetea taasisi ya usalama inayotanguliza maslahi ya chama mbele na kutumika kupandikiza mbegu za udini kwa maslahi ya kisiasa na kushindwa kutoa ushauri makini kwa rais.
Taasisi ambayo inamuelekeza waziri kwenda kutoa tamko juu ya nani achinje?
Taasisi iliyoruhusu fedha za EPA zichotwe na kutumika kwenye kampeni za uchaguzi kwa chama tawala huku wakishindwa kumshauri rais juu ya umuhimu wa kufuata utawala bora wa sheria ili wahusika waburuzwe mahakamani badala yake Rais akawaambia warudishe.Ni picha gani hii iliyojengwa kwa vibaka wa mitaani?
Kwamba unasema tukubali ushauri?Nitakishangaa CHADEMA kama kitakubali kila ushauri hata ule wa kipumbavu,tutakua hatuna tofauti na watawala tulio nao wanaoshauriwa kutoa maagizo ya kiserikali kwenye masuala ya dini na kusamehe wazi wa mali za umma.
CHADEMA kinapenda ushauri wenye tija ndiyo maana kuna kitengo cha utafiti na sera ambacho kinaongozwa kwa weledi.Professional consultancy ni nguzo kuu katika utendaji wake hasa yale yanayohitaji professionalism.Make no mistake!
Hilo la CHADEMA kuchukua madaraka linakutisha sana unaandika kwa jazba.Mtaumia wengi ila ni suala la muda tu....na bado.
Nduka,
Hebu soma kwa sauti kubwa hicho ulichoandika hapo.Sometimes it's better to be silent kuliko kujidhalilisha hata kama unatumia ID fake
Hapo ndio unapochemka ben kuleta habari shekh yahaya kwenye mtandao hazitokusaidia.
Ungekua unathamini social network kiasi hiki ungeingia na ID yako real.
Acha unafiki wako usidhani kwamba hujulikani kama si sheria za JF ningekuvua nguo.hapa na unajua siogopi kuchukiwa na wanafiki
Ungejibu hayo maswali aliyouliza Annael kidogo substance ingeonekana katika upuuzi mzima huu wa "kufuatiliwa".
Maswali ya msingi hujibiwa na majibu ya msingi vile vile, amasivyo haingii akilini mtu "kufuatiliwa" kwa kilometa 500 Iringa hadi Dar.
Mimi njia hiyo napita tena mara nyingi sana na kama mtu akitaka kukuteka au kukufanyia uharamia kuna sehemu mbaya sana kama Kitonga, mapori kati ya Comfort na Mbuyuni, na hata kona kona za Ruaha na Iyovi na hata mbugani Mikumi.
Waswahili wanasema mtu mwoga huwa anakufa mara mia.
Hizi crying wolf zina madhara yake maana yakimfika ya kweli hakuna atayeyachukulia serious.
Ben mimi nipo tayari kula Ban kwa ajili yako please kama unaushahidi weka wazi mimi ni nani kisha mods badala ya kukuathibu wewe nitawambia waniadhibu mimi. Katika orodha ya watu waliotembelea profile yangu kaka umetia fola huu ni uwoga wa kujadili issues humu unadhani kila siku ni flani ili upate toka kupitia mgongo wake.
Wewe hautopokelewa popote huko mtaani utabakia na umaarufu wa Jf' tu otherwise usubiri majaliwa ya mungu dr akiwa waziri mkuu unaweza ajili kama mfagia ofisi.
Unadhani kila mtu ni mroho wa madaraka kama wewe na wenzako.
Kwa hali ilivyo sasa mfagia ofisi kwenye serikali yoyote yenye weledi na uzalendo ana heshima kuliko mfanyakazi wa cheo cha juu asiye na uzalendo katika ikulu ya Tanzania.
shame on you too....
Hivi slaa do u have a gut to think , hope , aspire or even dreaming that you gonna make good president?
mtu gani akuue wewe mchana kweupe? we have vide cameras, from our smart phones, we have backup of every technology....huyo wa kukuua wewe so openly kiasi hicho ni nani? kwa nini unajivisha ujinga na uwehu kwa mawazo na mitaji ya kitoto?
mwenzako mbowe ana walinzi, whats makes you huna walinzi? walau mmoja ungemshusha afuatilie hilo gari? HAUKUWA NA WATU kutoka makao makuu (kikosi chenu cha ulinzi) kifuatilie hata kumuhoji huyo dereva?? tangu iringa??? hata kama umegundua ukiwa morogoro bado walinzi wenu walikuwa na uwezo wa kumkamata huyu mtu.......SASA KAMA HAUNA AKILI NDOGO KAMA HII UKIWA RAIS utafanyaje? you are far worst than what we have now.....
Slaa pengine unazeeka vibaya, but please try to collect youself and organise your logic skills, please no one can buy this ----,,,,I mean no one can board in this vehicle made by you
wa kuku support wewe ni wenye akili kama zako, wasioweza kufikiri
wanachadema, it was better mngemkaripia huyu rais wenu maana hatumii ubongi
No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.
Mimi Mr Whoever ni member wa forum hii na nina haki ya kuhoji mantiki ya posti yoyote humu jamvini.Mr.Whoever you are,
Kujibu upuuzi hakuna faida yoyote zaidi ya kuwachanganya wanaoangalia from periphery.
Ni nani asiyejua siku za karibuni TISS wameamua kuweka kitengo maalumu cha kupambana na kulinda madudu yao kwenye social networks ikiwemo JF?
No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.
Njooni mkutane nasi humu
Kama hujajibu maswali yangu wewe na Slaa ni wajinga na hamna nia nzuri na nchi yetu.Mr.Whoever you are,
Kujibu upuuzi hakuna faida yoyote zaidi ya kuwachanganya wanaoangalia from periphery.
Ni nani asiyejua siku za karibuni TISS wameamua kuweka kitengo maalumu cha kupambana na kulinda madudu yao kwenye social networks ikiwemo JF?
No wonder wale wanaoongoza kuitukana CHADEMA wamehamia wote kwenye mjadala huu.
Njooni mkutane nasi humu
Dr.W.Slaa tunakushukuru sana kwa kutoa comment kuhusiana na hili.Hata nilipopata habari hii nilisita kuiweka humu na MODS walifunga huu mjadala huu kulinda Credibility ya JF.
Poleni sana kwa haya yaliyotokea.Mjadala huu upo kwenye mitandao mingi sana
Taifa linaelekea kubaya kweli kweli.Sisi wananchi tutasimama nanyi siku zote
CC:Molemo Shardcole, Mzito Kabwela, Matola, Mzee Mwanakijiji Mohamedi Mtoi Ben Saanane Mikael P Aweda Nicas Mtei TIMING, Lwesye, Froida Magesi, King'asti FirstLady1 Crashwise Mungi, LiverpoolFC Tumaini Makene Suzie Josephine03 Waberoya , jmushi1 Kichuguu n.k
yaleyale ya magesi, lwesye, shadcore, molemo. Haya bwana mwenzenu anapiga kazi hanaga habari na unafiki wenu. He is somebody you are nobody.
Pamoja na kwamba sikupendi ila naamini unaakili za kutosha kutambua jema na baya. Mwambieni Slaa hao wanaoitukana CDM wanapata sababu hasa kutokana na huu upuuzi wa kutunga uwongo na kutaka kulazimisha uwe ndio ukweli. Mwambieni ukweli msimtukanishe bure.
Kama hujajibu maswali yangu wewe na Slaa ni wajinga na hamna nia nzuri na nchi yetu.
Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.niamini ndugu, wakati wa kufa, mtu atatafuta wakumlaumu kwa nguvu zote, mnahitaji ushahidi gani muamini kuwa CDM wana uchu wa madaraka, and for that wako tayari kufanya lolote, kujeruhi yoyote, kuua yoyote kuhakikisha wanakamata madaraka, hivi ni akili mgando kiasi gani kufikiria kumpa lema jambazi mstaafu wizara ya mambo ya ndani?? na nyi vijana wa nchi hii, mnaojiita wasomi mpo tu?? afu kila siku, TISS, Polisi, Jeshi wote ni magamba?? hamjui vyombo vyote hivyo moja ya kazi zake ni kuilinda serikali iliyoingia madarakani kihalali bila ya kujali inatoka chama gani?? mmepewa akili mzitumie, sio mfanye mapambo...
Sihitaji kupendwa na wanafiki wanaojaribu kuzuia wimbi la mabadiliko na kulisaliti taifa kwani hiyo ni laana kwangu kama mzalendo wa kweli.
So,Keep that love for yourself.
Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.
Mkuu there is no parallel kati ya US na Tanzania.Hamjui mipaka wakati mnalinda.Mnalinda ccm mnasema mnalinda serikali.Mkitaka kujuwa wenzenu wanavyofanya kazi tizameni US.Aje democrat aje repub,maslahi ya Taifa yako clear.Nyie mnafanya kazi kijinga kwa kuwatumikia mafisadi mnasema ni Taifa mnatumikia.
Unajua.Unapowaona wakombozi wako ni wajinga huna tofauti na ng'ombe anayepelekwa kula huku akipigwa viboko. Jitahidi kuishirikisha akili yako ikae kichwani mkuu la sivyo utateseka sana