Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Mkuu there is no parallel kati ya US na Tanzania.
If anything is to go by tujaribu ku-uphold democracy hata ndani ya vyama vyetu vya siasa.
Kwa ulinganishi wako tu mshindani ANAYESHINDWA hawezi tena kugombea muhula unaofuata maana kunakuwa na democratic caucassses ndani ya vyama.
Hebu jilinganishe na chama chako cha CHADEMA, viongozi ni wale wale kama shilingi ya mkoloni.And in this respect ingalau hata CCM ime-fare better kwa kubadilisha washindani kila baada ya miaka kumi
jmushi1,
Anaongelea usalama wa Taifa wewe umedandia vyama.Hata ungeleta hayo ya vyama jadili growth ya Democrats na GOPs na historia zao ulinganishe kiwango cha ukuaji wa demokrasia katika umri wa miaka 20 tu wa CHADEMA.
Na hilo la wagombea Urais sijui unalifanyia comparative analyisis ya aina gani maana CHADEMA kilisimamisha mgombea Urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005,akaja Mwingine mwaka 2010 na wote hao ni matokeo ya mchakato wa kidemokrasia hata kama wangemrudisha yule yule wa mwaka 2005 tofauti na CCM wanakofunga demokrasia hadi kutangaza wengine sio raia huku bastola zikitumika sehemu ya kujenga hoja kama mbadala.
Last edited by a moderator: