Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

Ujinga ndo unakusiumbua hujui unaandika nini, hivi una akili uolewe na mtu aliyekimbia ndoa Takatifu ya Upadri!!
Utalambwa utaachwa, Muulize Rose Kamili atakupa full Mkanda.
Sio kila king'aracho ni dhahabu mengine ni Makapi yanajitembeza kusubilia siku.

Kabla ya Kamil si ulianza wewe, nahisi atafuata ushauri wako maana wewe ndo mkubwa
 
Ujinga ndo unakusiumbua hujui unaandika nini, hivi una akili uolewe na mtu aliyekimbia ndoa Takatifu ya Upadri!!
Utalambwa utaachwa, Muulize Rose Kamili atakupa full Mkanda.
Sio kila king'aracho ni dhahabu mengine ni Makapi yanajitembeza kusubilia siku.
Acha wivu wewe,inegependeza kama ungesema akuulize wewe.
 
ni hatari sana kama mambo haya yanafanyika mchana kweupe.sijui usiku hali ikoje.
kungo"a kucha ndio stail yao lakini sasa muda wa kibao kuwabadilikia unakaribia na hili tuseme bila kuficha wakijaribu kucheza na dr slaa nchi hii itapata historia mpya tena hawajawahi ona wafanye ujinga tu waone!!!! Wao wana vibaka sisi tuna allah
 
Ujinga ndo unakusiumbua hujui unaandika nini, hivi una akili uolewe na mtu aliyekimbia ndoa Takatifu ya Upadri!!
Utalambwa utaachwa, Muulize Rose Kamili atakupa full Mkanda.
Sio kila king'aracho ni dhahabu mengine ni Makapi yanajitembeza kusubilia siku.
sasa kama unajiita uchaguzi na akilia ya matope kiasi hichi nyie ndio wale waliopaswa kuzaliwa wanyama pori ila mkapata upendeleo wa mungu hata kuutumia mnashindwa sasa hapa unamtetea nani? unayemlamba miguu ridhiwani? tuulize sisi ndio waislam acheni kujipendekeza kwa familia ya mshua sana kunguru hafugiki
 
Salome Mbatia alikufa barabarani kwenye ajali ya gari, alikuwa kwenye harakati za kutetea nafasi yake ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya chama pamoja na uweka hazina wa chama.

MheshimiwaMwakyembe alipata ajali na pia aliugua ugonjwa usiojulikana siku siyo nyingi.

Mheshimiwa Dr. Slaa tunaomba uwe makini na safari zako za barabarani. Kama ikibidi safiri kwa anga magari yakupokee popoete unapoenda. Huu mchezo mchafu utakupotezea maisha. Watawala hawako tayari kukosolewa au kunyang'anywa tonge mdomoni.. Wewe na chama chako mmekuwa mwiba mkali kwa hawa jamaa na watafanya kila mbinu kuwatishia na kuwarudisha nyuma. Naomba wewe na chama chako mchukue tahadhari ili tufike huko tunakotaka kwenda.
 
Ben sakumi.
Mie na wewe nani wa kutiliwa mashaka?
Wewe unapingana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Chako CDM,tena kwa hoja za kitoto ambazo haziwezi kulingana na uwezo na umaarufu wa Zitto na Ofisi yake hata robo tu.
Wewe na Mimi nani ANATUMWA NA KUTUMIWA?
Wewe na ZItto nanai Anaheshimika na Vijana Tanzania?
Wewe Mburura na Zitto nani kaijenga chadema ya leo?
Wewe Kibaraka na Zitto Kabwe nani anajulikana Kitaifa na Kimataifa?
Wewe Mtumwa na Zitto Kabwe nani anauwezo wa kuibomoa au kuijenga Chadema ya Leo?
Wewe na Zitto nani ni Kiongozi?
Huna jipya.
Mama yake alikuona juzi uko miongoni mwa wale waliomteka na kutaka Laptop ya mwanae! USIKURUPUKE hujakomaa, Unatumika vibaya kijana, Utaumbuka.

This is rubbish...Mtakua obsessed sana na jina langu.Na bado maana huu ni Mwanzo tu.Sirudi nyuma na anayetaka kupambana nami badala ya hoja ategemee vita ya muda mrefu ambayo huwa sishindwi.Nina Mungu.Ujumbe umefika
 
Ben mimi nipo tayari kula Ban kwa ajili yako please kama unaushahidi weka wazi mimi ni nani kisha mods badala ya kukuathibu wewe nitawambia waniadhibu mimi. Katika orodha ya watu waliotembelea profile yangu kaka umetia fola huu ni uwoga wa kujadili issues humu unadhani kila siku ni flani ili upate toka kupitia mgongo wake.
Wewe hautopokelewa popote huko mtaani utabakia na umaarufu wa Jf' tu otherwise usubiri majaliwa ya mungu dr akiwa waziri mkuu unaweza ajili kama mfagia ofisi.

CHAMVIGA angalia isije siku ukayakana maneno yako haya, Endelea kuota ndoto za mchana mkuu lakin unatakiwa ujue kwamba Ben Saanane sio level yako, Nimepitia comments nyingi humu JF na wengi wenu mnaongoza kuwa na Benphobia, wengi mnaumiza vichwa vyenu na kwa kuhoji ujasiri wa Ben chanzo chake kipi?

Najua ni uthubutu wake wa kuongea ukweli bila kupepesa macho ndiyo unawanyima usingizi na kwa jinsi mnavyomshambulia basi na sisi ndio tunazidi kupata nguvu na moyo ktk kumuunga mkono.

Take it from me Comrade.
 
Last edited by a moderator:
This is rubbish...Mtakua obsessed sana na jina langu.Na bado maana huu ni Mwanzo tu.Sirudi nyuma na anayetaka kupambana nami badala ya hoja ategemee vita ya muda mrefu ambayo huwa sishindwi.Nina Mungu.Ujumbe umefika

Uliwahi kumshinda nani na ukapewa ushindi?
Mungu yupi mwenye hila na chuki kama wako?
Unakufuru wala hustahili dogo.
 
sasa kama unajiita uchaguzi na akilia ya matope kiasi hichi nyie ndio wale waliopaswa kuzaliwa wanyama pori ila mkapata upendeleo wa mungu hata kuutumia mnashindwa sasa hapa unamtetea nani? unayemlamba miguu ridhiwani? tuulize sisi ndio waislam acheni kujipendekeza kwa familia ya mshua sana kunguru hafugiki
Mashetani yamejisajili humu.
Maana huwezi kumwita binadamu mnyamapori.
 
CHAMVIGA angalia isije siku ukayakana maneno yako haya, Endelea kuota ndoto za mchana mkuu lakin unatakiwa ujue kwamba Ben Saanane sio level yako, Nimepitia comments nyingi humu JF na wengi wenu mnaongoza kuwa na Benphobia, wengi mnaumiza vichwa vyenu na kwa kuhoji ujasiri wa Ben chanzo chake kipi?

Najua ni uthubutu wake wa kuongea ukweli bila kupepesa macho ndiyo unawanyima usingizi na kwa jinsi mnavyomshambulia basi na sisi ndio tunazidi kupata nguvu na moyo ktk kumuunga mkono.

Take it from me Comrade.

Shadcore kumuunga mkono Ben saanen katika harakati zake za kumchafua Zitto hatuoni ajabu kwakuwa mnatumiwa na kulipwa vijisent au mmeahidi kajiposition once ndoto zenu zikifikiwa.
Ila jua kabisa hamtofanikiwa katika mapambano huku mkiwa mmemueka Zitto kando.
Vijana wengi akiwemo wewe ni washabiki wa cdm kwa7bu ya kuvutiwa na siasa za Zitto ndani taifa hili.
Mnafanya mambo yanayokusuteni moyoni mwenu kwani mnajua cdm ipo hapo ilipo kwa mchango mkubwa wa zitto.
Take it from Wewe au Ben na wengine mkiiwacha Cdm haidhuliki ila si zitto.
Wewe ni shahidi wa juhudi za kweli za zitto na juzi umemmwagia sifa nyingi tu alivyokuwa Tabora.
 
Last edited by a moderator:
Ben sakumi.
Mie na wewe nani wa kutiliwa mashaka?
Wewe unapingana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Chako CDM,tena kwa hoja za kitoto ambazo haziwezi kulingana na uwezo na umaarufu wa Zitto na Ofisi yake hata robo tu.
Wewe na Mimi nani ANATUMWA NA KUTUMIWA?
Wewe na ZItto nanai Anaheshimika na Vijana Tanzania?
Wewe Mburura na Zitto nani kaijenga chadema ya leo?
Wewe Kibaraka na Zitto Kabwe nani anajulikana Kitaifa na Kimataifa?
Wewe Mtumwa na Zitto Kabwe nani anauwezo wa kuibomoa au kuijenga Chadema ya Leo?
Wewe na Zitto nani ni Kiongozi?
Huna jipya.
Mama yake alikuona juzi uko miongoni mwa wale waliomteka na kutaka Laptop ya mwanae! USIKURUPUKE hujakomaa, Unatumika vibaya kijana, Utaumbuka.

Duu we noma
 
Mkuu yaani umemaliza kilakitu. Sema Ben kazi yake kubwa ni kuchafua image ya Zitto ndicho alichotumwa. Umaarufu ni priority ya pili kwa Ben.
 
Unapowaona wakombozi wako ni wajinga huna tofauti na ng'ombe anayepelekwa kula huku akipigwa viboko. Jitahidi kuishirikisha akili yako ikae kichwani mkuu la sivyo utateseka sana

mmmh slaa naye ni mkombozi?? unamjua kweli? ni padri yule au ameishawahi kukunanilii
 
Walitaka kumtoa kucha na meno bila ganzi jamaa akawashtukia.
 
Back
Top Bottom