Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,267
- 421
Ujinga ndo unakusiumbua hujui unaandika nini, hivi una akili uolewe na mtu aliyekimbia ndoa Takatifu ya Upadri!!
Utalambwa utaachwa, Muulize Rose Kamili atakupa full Mkanda.
Sio kila king'aracho ni dhahabu mengine ni Makapi yanajitembeza kusubilia siku.
Kabla ya Kamil si ulianza wewe, nahisi atafuata ushauri wako maana wewe ndo mkubwa