Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sio kwamba "yaliyopita si ndwele?!"Wakiwa madarakani huwa wanashabikia wenzao kuteswa
Lakini ni funzo kwa wengineSio kwamba "yaliyopita si ndwele?"
Watafanyia mkutano kituo cha polisi!
Sawa
Sio kwamba "yaliyopita si ndwele?"
Kwa akili Yako unadhani Kati ya Mbowe na Dr Slaa nani ni Boss wa mwenzake huko CCM? ππ₯Sahivi anahitaji msaada wa Mbowe
Dk Slaa sio mwanaCCMKwa akili Yako unadhani Kati ya Mbowe na Dr Slaa nani ni Boss wa mwenzake huko CCM? ππ₯
Hata naye ni ccm,CHADEMA, ACT na Vyama vingine ni matawi ya CCM. Tumuunge mkono Mwabukusi
Huna akiliHata naye ni ccm,
Ccm wako mbele miaka 200
Muunge mkono wewe mimi upuuzi huo sifanyiCHADEMA, ACT na Vyama vingine ni matawi ya CCM. Tumuunge mkono Mwabukusi
HaziwatoshiWatafanyia mkutano kituo cha polisi!