Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

Siasa za nchi hii hakupo popote duniani wakal katiba ya nchi hi haipo popote duniani hi
 
Uzalendo wakati mwingine ni kusema hapana.
Wanachofanya Dr Slaa, Ndugu Mdude na Wakili Mwabukusi ni kutafuta nafasi ya umma "Public space"iliyovurugwa na wanasiasa. Nafasi ya umma inaweza kuwa mtaji ikipokwa.
 
Slaa na Lipumba wameharibu ukuaji wa democrasia Tanzania.

Kama vip afungwe tu tuone ccm wenzake kama watamuacha huko jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…