Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
- Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
Wacha ajipambanie mwenyewe sasa baada ya kukosa adabu kwa Mbowe aliyekuwa akiwatoa lupango kila siku kwa fedha zake binafsi.Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
- Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
Acha apige nyeto mahabusuDuh aiseee
Slaa alijionesha wazi kufanya kazi za kuiua CHADEMA kiasi cha kufurahia kesi ya Mbowe.Kama alivyotabiri Lema ,Slaa hawezi kuachiwa mpaka uchaguzi wa CDM upite.
Mugabe wetu anapewa kila aina ya msaada na serikali na CCM ili ashinde.
Mzazi wako ana hasara sana aisee.Acha apige nyeto mahabusu
Fedha zipi? Unamaanisha zile bil 12 za Abdul?Wacha ajipambanie mwenyewe sasa baada ya kukosa adabu kwa Mbowe aliyekuwa akiwatoa lupango kila siku kwa fedha zake binafsi.
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
- Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
KAZI ya MBOWE na bibi wa kizimkazi. Slaa ataachiwa baada ya uchaguzi wa CHADEMAKesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
- Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
Kwan Slaa ana madhara gani? Sio mwanachama wala mjumbe mahali popote pale. Yupo kama wewe tu, tena angalau wewe unaweza piga kampeni humu jukwaani. Mzee ameshajichokea.Kama alivyotabiri Lema ,Slaa hawezi kuachiwa mpaka uchaguzi wa CDM upite.
Mugabe wetu anapewa kila aina ya msaada na serikali na CCM ili ashinde.