kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Lissu na Mariah sarungi na chadema mtandaoni wanachangia huyo mzee kukaa mahabusu kwanini hawaandamani kwenda kumtoa wana blah blah nyingi club house!Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
- Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo