Pre GE2025 Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu na Mariah sarungi na chadema mtandaoni wanachangia huyo mzee kukaa mahabusu kwanini hawaandamani kwenda kumtoa wana blah blah nyingi club house!
 
Slaa alijionesha wazi kufanya kazi za kuiua CHADEMA kiasi cha kufurahia kesi ya Mbowe.
Kwahiyo ccm ya mama Abdul inasaidia chadema isife kwa kumfumga Mbowe?
 
 
Miaka ya badae mbeleni huko tutakua tunasoma hivi hivi, aliyekua Rais wa Tanzania bwana Mrisho na wahuni wenzake wakina Mwigulu, Chenge, Tulia, Abdul, Makonda, na wengine 560 wote wakiwa ni ccm waendelea kusota rumande huku mama Abdul akionekana kudhoofika kiafya akilalamika kutopata huduma nzuri ya afya.
 
Baada ya uchaguzi wa CHADEMA Slaa ataachiwa tu.

Nia hapa ni kumteka Slaa asiseme mambo mengi wakati CHADEMA wanafanya uchaguzi ili Mbowe apate urahisi.
 
Mfumo wa Hakijinai wa Nchi hii ni mbovu, Mahakama zetu haziko huru zinendeshwa kwa maagizo kutoka juu.
 
Kama alivyotabiri Lema ,Slaa hawezi kuachiwa mpaka uchaguzi wa CDM upite.
Mugabe wetu anapewa kila aina ya msaada na serikali na CCM ili ashinde.
Lema aliingilia uhuru wa mahakama.
 
Bado Hadi maji Aite mmaaa 😁😁
 
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…