Pre GE2025 Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akina Lissu aliokuwa anawatetea wamemtelekeza!
 
Mpaka uchaguzi upite ndiyo watamuachia. Halafu mnasema mahakama zinatoa haki!!!
 
Tar 15 wife alinitia ndani, na kwa mara ta kwanza nikajua mahabusu kuna sound aje?
Aisee, pasikie tu.
Sema ukiwa na positive mindset, ni mahala pazuri sana, kwa namna nyingine ii was happy being there
Bado unaishi naye huyo mke?, mtu yoyote ayekupeleka na kukulaza mahabusu anakuwa ameshindwa kukuua tu,
 
Uchaguzi wa mwenyekiti/makamu ya cdm ni lini hivi???

Ova
 
Bado unaishi naye huyo mke?, mtu yoyote ayekupeleka na kukulaza mahabusu anakuwa ameshindwa kukuua tu,
Hapana hatuish pamoja, aliondoka nyumban ila sasa alipoona mimi nimekausha wala simfuatilii baada ya kukaa vukao na yeye kugoma kurud nyumban, ameona sasa aanze kunisumbua kwa ma kesi kama hivi
 
Kuna watu laana itawapiga
 
Huyu Mzee wanachomfanyia sio haki kabisa....mambo kama haya yanaondoa baraka kwenye nchi.
Pascal Mayalla
 
Angalieni hii post yangu.

Mungu atamuondoa mmoja ama wawili wanaotumia madaraka yao kukandamiza Watanzania.

Mahakimu wajiandae kulipwa na Mungu maana wanaamini wana nguvu kuliko yeye
 
Simuonei huruma huyu mzee kwa haya anayopitia! alichotufanyia kwenye uchaguxi wa 2015, upinzani ilikuwa unachukua nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…