Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka.
Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru.
Amechanga karata na huku tuendako anatafuta njia yoyote ile awe mfungwa wa kisiasa . Akipata conviction kama mfungwa wa kisiasa tayari malengo yake yatakuwa yametimia . Leo ameitwa nakuhojiwa media za magharibi zimeanza kufuatilia itakumbukwa juzi kati akimsingiza kwenye rekodi ya ubaguzi Prof. Mahalu.
Leo anapotekeleza majukumu yake kisiasa anachotafuta siyo kura. Anatafuta namna yakurejea kwenye nafasi yake ya awali ya mtetezi wa rasilimali za nchi.
Dkt. Slaa anatufundisha kutokata tamaa, kadri utakavyoteswa ndivyo utakavyoimarika na kuwa mtu bora zaidi. Hongera jasusi kwa mbinu zako