Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

Ajabu sana, sitokaa niwaelewe! Nyie mliosaliti upinzani ndio mnao mlabel usaliti Dr Slaa. Ni sawa uibiwe na vibaka alafu wakupigie kelele za mwizi! Bahati mbaya kweli kelele zenu zina nguvu.

Dr Slaa unaweza kumlaumu kwenye mengi lakini sio kuisaliti Chadema 2015. Kwamba Mbowe ndio alikuwa mzalendo wakati ule? Tuacheni bana!
Mbowe mzee wa maokoto anataka cdm impe mabillion kwa mgongo wa mabadiliko feki
 
Ajabu sana, sitokaa niwaelewe! Nyie mliosaliti upinzani ndio mnao mlabel usaliti Dr Slaa. Ni sawa uibiwe na vibaka alafu wakupigie kelele za mwizi! Bahati mbaya kweli kelele zenu zina nguvu.

Dr Slaa unaweza kumlaumu kwenye mengi lakini sio kuisaliti Chadema 2015. Kwamba Mbowe ndio alikuwa mzalendo wakati ule? Tuacheni bana!
Mkuu MTAZAMO niliandika kumjibu Mshana kwamba CDM kuelekeza lawama za 2015 kwa Dr.Slaa pekee haitoshi kwani kuna kundi ndani ya Chama nao walihusika, mwenyekiti hakuna mahali atakwepa lawama pia.

Waswahili walisema usiache mbachao kwa msala upitao.........wako wapi walioonekana lulu 2015.....
 
Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka.

Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru.

Amechanga karata na huku tuendako anatafuta njia yoyote ile awe mfungwa wa kisiasa . Akipata conviction kama mfungwa wa kisiasa tayari malengo yake yatakuwa yametimia . Leo ameitwa nakuhojiwa media za magharibi zimeanza kufuatilia itakumbukwa juzi kati akimsingiza kwenye rekodi ya ubaguzi Prof. Mahalu.

Leo anapotekeleza majukumu yake kisiasa anachotafuta siyo kura. Anatafuta namna yakurejea kwenye nafasi yake ya awali ya mtetezi wa rasilimali za nchi.

Dkt. Slaa anatufundisha kutokata tamaa, kadri utakavyoteswa ndivyo utakavyoimarika na kuwa mtu bora zaidi. Hongera jasusi kwa mbinu zako
Sasa huyu mzee si anakufa kesho tu. Hizi harakati anazofanya kwa sisi tuliosoma psychology tunaona ni tatizo la afya ya akili tu
 
Back
Top Bottom