Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

Mbowe mzee wa maokoto anataka cdm impe mabillion kwa mgongo wa mabadiliko feki
 
Mkuu MTAZAMO niliandika kumjibu Mshana kwamba CDM kuelekeza lawama za 2015 kwa Dr.Slaa pekee haitoshi kwani kuna kundi ndani ya Chama nao walihusika, mwenyekiti hakuna mahali atakwepa lawama pia.

Waswahili walisema usiache mbachao kwa msala upitao.........wako wapi walioonekana lulu 2015.....
 
Sasa huyu mzee si anakufa kesho tu. Hizi harakati anazofanya kwa sisi tuliosoma psychology tunaona ni tatizo la afya ya akili tu
 
Dr.Slaa ana uwezo wa kuibomoa CDM 2025, tayari ameshawachukua Mdude na Mwambukusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…