Dkt. Slaa amesahau Katiba au anapotosha makusudi?

Yaani niwe na stress kwamba Babu Slaa ambaye amepoteza mwelekeo na anajisemea vya moyoni na sio vya akilini?

Ogopa Sana MTU anaongozwa kufanya uamuzi Kwa kutii moyo na tumbo badala ya akili!

Slaa ana stress za kumtosha .......
Akili inahitaji kulishwa kama hujui. Dr Slaa is right, yeye hajaegemea upande wowote. Siyo nyie mnaotaka kujifanya majaji wakati ana kesi ya kujibu.
 
Mbona naona wewe ndio unamwekea maneno mdomoni, mahaba yako kwa Mbowe yamekupofusha, ikiwa si gaidi au ni gaidi tuiache mahakama itoe uamuzi wake hilo ndio muhimu kwa sasa. Kubali kutokukubaliana itakupungizia stress.

Lakini katiba ipo wazi mtuhumiwa hata chukuliwa hatiani mpaka mahakama imthibitishe. Ndio maana CHADEMA wanadai sio gaidi maana mahakama haijatoa maamuzi.
 
Huyu ni mbadhirifu sana hasa kipindi kile yupo kamati ya bunge inayosimamia serikali za mitaa sijui na Halmashauri. Ni mwizi mno.
 
Akili inahitaji kulishwa kama hujui. Dr Slaa is right, yeye hajaegemea upande wowote. Siyo nyie mnaotaka kujifanya majaji wakati ana kesi ya kujibu.

Unaweza kumwita mtu gaidi wakati mahakama haijamthibitisha?. Au hakuna kitendo Cha kigaidi kilichofanyika?. Siasa imetuadhiri mpaka uongo tunauita ukweli. Ukitaka ugaidi nenda Somalia kaulize au nenda Westgate kaulize. Tanzania hakuna ugaidi.
 
Bora aliondoka CHADEMA, Leo karma inamtafuna. Kuiacha familia na kubeba make wa mtu na mwisho kukiacha chama kilichokuheshimu na kumfata mwamke. Sasa leo dunia imemgeuka, CHADEMA hawana muda nae na familia haina muda nae.
 
Ni kwa sababu upeo wako wa aki ndipo ulipofikia basi ngoja ninyamaze maana sijui unafikiri kwa kutumia kichwa kipi!
Unaweza kumwita mtu gaidi wakati mahakama haijamthibitisha?. Au hakuna kitendo Cha kigaidi kilichofanyika?. Siasa imetuadhiri mpaka uongo tunauita ukweli. Ukitaka ugaidi nenda Somalia kaulize au nenda Westgate kaulize. Tanzania hakuna ugaidi.
 
Heshima yake yoooote imebakia historia tu huyo Mzee
 
Hiyu mtu hajawahi kabisa kuwa muaminifu katika viapo vyote alivyowahi kuapa ama nadhiri alizowahi kuweka. Alivunja kiapo cha useja na kile cha upadri, akavunja nadhiri yake ya uanachama wa CCM, akakimbilia upinzani, hakudumu akavunja nadhiri ya uanachama na kiuongozi wa CDM! Amewasaliti wapenda madiliko ya kweli kwa vipande vya shilingi!

Si ajabu kwake kumsaliti yule mtu aliyekuwa naye karibu kiuongozi, mtu ambaye alimuamini na hata kumpa nafasi ya juu ya Katibu Mkuu wa chama. Mtu ambaye alimsaidia katika shida na raha, pale alipokuwa upande wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchi.

Slaa, Slaa, Slaa! Nimekuita mara tatu, nafikiri unapaswa kukaa kimya na ikiwezena ukwepe kuzungumza baadhi ya masuala yanayoendelea hapa nchi. Umri wako umefikia kiwango cha kuongozwa na hekima na busara, wala si kuwa mtu mropokaji na mwenye kuukwepa ukweli.

Kwepa kuzungumzia dhuluma ama hujuma dhidi ya utu wa kibinadamu ama demokrasia hapa nchini. Kwepa kuishi maisha ya kuchumia tumbo ili tu upate kuufurahisha upande wa watu waovu, wauaji, dhalimu na pia wenye roho mbaya.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Yaani niwe na stress kwamba Babu Slaa ambaye amepoteza mwelekeo na anajisemea vya moyoni na sio vya akilini?

Ogopa Sana MTU anaongozwa kufanya uamuzi Kwa kutii moyo na tumbo badala ya akili!

Slaa ana stress za kumtosha .......
Kama hajawakamata mbona mnaporomoka humu bila breki?

Yule anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaobofya bofya simu kumtukana.

Amewahi kuwa kiongozi mkuu wa chama hivyo anajua mipango mingi ya gizani kuliko sisi tunaoandika andika humu.

Tatizo Chadema mko kama nyumbu mnakariri sana mahaba ya chama kuliko uhalisia.
 
Lakini katiba ipo wazi mtuhumiwa hata chukuliwa hatiani mpaka mahakama imthibitishe. Ndio maana CHADEMA wanadai sio gaidi maana mahakama haijatoa maamuzi.
The biggest problem we have tunaamini na kulazimisha tunachowaza badala ya kuacha fact iamue. In court of law fact and evidence will set anyone free or find guilt including our brother Mbowe. Since we started shouting kuna nini kimebadilika? Ukisukuma ukuta unajichosha walau sukuma kinachosukumika... utaona kuna dalili kina move au la.
 
Lakini katiba ipo wazi mtuhumiwa hata chukuliwa hatiani mpaka mahakama imthibitishe. Ndio maana CHADEMA wanadai sio gaidi maana mahakama haijatoa maamuzi.
Kwa nini unaingalia katiba upande mmoja tu... kwa nini unazuia haki ya mtu mwingine kutoa maoni yake? Ikiwa we unaamini sio gaidi kwa nini unashindwa kuelewa wengine wanamwona gaidi... ndio maana tunasema both should be patient until court judge otherwise.
 
Angekuwa dingi ako yupo magereza wewe sister usingeongea huu ujinga wako
 
Asipoendelea kusifu na kuabudu kisiasa atakua keshajichinja mazima. Acheni bwana mihogo atafute ugali wake angalau abadili menyu.
 
Angekuwa dingi ako yupo magereza wewe sister usingeongea huu ujinga wako
Hiyo ni kutenda kwa kufuata kihisia and assumption and leave the fact behind ... to me hata ungekuwa wewe ni mke wangu na unatuhumiwa ugaidi bado ningeandika the same.
 
Wakati anatoka CDM, Josephine alikuwa kaiweka nyumba hiyo 'rehani' kwenye biashara zake. Dr Slaa alikuja fahamu wakati nyumba yataka kupigwa mnada ili kulipa deni la Tshs 350,000,000/-, ambalo 'yaonekana' kuwa lilipikwa. Dr Mwakyembe, kwa upendo mkubwa wa CCM 'alililipa' deni hilo na PIA akamwandalia press conference, akiaminishwa kuwa kuondoka kwake kutaivuruga CDM, akaishia kuvurugika yeye.
 
Akili inahitaji kulishwa kama hujui. Dr Slaa is right, yeye hajaegemea upande wowote. Siyo nyie mnaotaka kujifanya majaji wakati ana kesi ya kujibu.
Kwa hiyo wewe na Dr Slaa msioegemea 'kokote' mwasemaje kuhusu wale akina Zero waliyoongea na BBC ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…