Dkt. Slaa amesahau Katiba au anapotosha makusudi?

Akibanwa na mavi ndio huongea ujinga ujinga. Yaani mtu aseme Mbowe sio gaidi yeye anakasirika ebo... so anataka watu waseme Mbowe ni gaidi? upumbavu wake ampelekee Josephine. Hao waliomshitaki Mbowe ndio awakasirikie. Mwambieni afikirie kabla hajaongea.
Nasikia mushumbusi kamkimbia
 
Huyu mzee ni kichefuchefu na kifaduro tupu, anasema mahakama iachwe iamue na hapo hapo ana imply vinginevyo ni jambo la ajabu sana, watu wa namna hii sijui ni kwa nini wasiitwe mbele za haki. Mungu ni wa wakosaji na kama Slaa ni mkamilifu wa kuwashambuliwa watotoa maoni, basi na yeye huko juu, dishi limeyumba.
Eti ndio angekuwa Rais wa Tanzania kama ule uchaguzi angeibuka kidedea. Mmmmmm, CHADEMA msilifanye kosa hilo tena, kwa maana al manusura mlirudie kwa Lowasa na sasa mnataka kulifanya kwa LISSU. Kweli CHADEMA hamjifunzi kutokana na makosa.

CHADEMA itazamishwa na wana- CHADEMA wenyewe.
 
Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama!

Hakusoma lolote kuhusu wale wananchi wengine ambao wao Kutwa kucha wanasema Kinyume chake yaani wanasema kuwa 'Mbowe NI Gaidi' .... hakutaka kuwakemea hao Bali anakemea kundi linalosema Kinyume na Hilo.

Mwambieni Dr Slaa akasome Katiba ya nchi, ibara 13 (6), (b) inayopiga MARUFUKU mtu anayeshtakiwa kutenda 'KOSA' fulani kuhesabika kuwa ana HATIA mpaka pale mahakama itakapotamka. Wananchi HAWAKOSEI wanaposema #MboweSioGaidi na si kuingilia UHURU wa mahakama kama yeye anavyodhani!

Yeye na wenzake ambao wanaona kuwa 'Mbowe NI Gaidi' ndio wanaingilia Uhuru wa Mahakama! Waiachie Mahakama kwani Katiba yetu imeweka wazi na bayana kuhusu MTU kutuhumiwa Kwa kosa Fulani sio kwamba amelitenda kosa Hilo na anahesabiwa Hana Hatia mpaka itakapothibitika Mahakamani.

Dr. Slaa tusimchukulie kuwa ameropokwa la hasha! Huyu amekuja kupima kina cha maji, ametumwa kuandaa UMMA Kisaikolojia, anapima kauli yake itapokelewa vipi na UMMA, anajaribu kuonyesha upande wa mashitaka wanayo hukumu ya Aina gani kabla hata ya kusikiliza utetezi wanajitetea vipi na Kwa ushahidi gani.

Wengine wanafikiria kuwa Dr. Slaa ana msongo wa mawazo kutokana na Mambo ambayo anayapitia sasa kwenye Maisha yake! Huenda ikawa kweli lakini Kwa jinsi nilivyomsikiliza na kumtazama unaona kabisa dimina yake inakuonyesha amamaanisha kitu gani! Asipuizwe Kwa alichokifanya kwani anajua anafanya nini na Kwa malengo gani!

Kuna siku ntakuja kumfunua alivyo, na matendo yake maovu ya Muda mrefu, hamtaamini kuwa huyu ni Yule Dr. Slaa au NI MTU Mwingine anafananishwa Naye kwani sio msafi kama mnavyomfikiria!

Sio muaminifu kwenye ndoa, pesa, kiapo na Pia sio muaminifu Kwa watu wake anaowaongoza au anaofanya nao KAZI!
njaa mbaya sana
 
Hili dubu zee sina imani wala sitaki kulisikia!!
 
Zee lishakuwa TUMWA la Majitu Maovu.lilishindwa kumtumikia MUNGU Sasa linamtumikia shetani na vibaraka wa shetani
 
Kuishi bila kupigana vita ya kuwa na kipato huru huwa inaleta laana.Imagine kizee kama hiki kinapambana ili kipate teuzi kiweze kuishi.

I gonna risk everything to posses my own stream source of income.Haya maisha ya kuja kuongea pumba uzeeni ili niweze kuishi siyawezi.
 
Eti ndio angekuwa Rais wa Tanzania kama ule uchaguzi angeibuka kidedea. Mmmmmm, CHADEMA msilifanye kosa hilo tena, kwa maana al manusura mlirudie kwa Lowasa na sasa mnataka kulifanya kwa LISSU. Kweli CHADEMA hamjifunzi kutokana na makosa.

CHADEMA itazamishwa na wana- CHADEMA wenyewe.
Sasa wewe hiyo inakuhusu nini si ndio furaha yenu ccm.
 
Waandishi wa habari sikuhizi nivichwa uji Bora ingekua maji raia mwema nayo nimekuta hivyo wakimhoji akiwa kwake mbweni ,walijua wanaenda kumuhoji mtu Mambo yakikatiba lakini wakaenda na ujiwao mzito wakarudi nao
 
Back
Top Bottom