Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

Natamani sana zingekuwepo alama za "nzuri" zaidi ya moja, zote ningezimwaga hapa!

Heshima sana mkuu 'Erythro' kwa andiko hili hapa linalopiga penyewe hasa!

Lakini,...
Kwa kifupi ni kwamba Chadema siyo Mabwege .
Ninakutahadharisha sana kuhusu hili.
CHADEMA shaondolewa kwenye reli sana. Kuinyanyua na kuipandisha tena kwenye reli ianze tena ilipokuwa imeishia na moto ule uliokuwepo na hadi ifanye kweli, kama "Hichilema wa Zambia...", hiyo itakuwa ni kazi ngumu sana, hata kufikia kuwa haitawezekana kwa muda huu uliobaki.

Mtavurugwa sana ndani ya chama chenu wakati huu hata msione mnakwenda wapi.

Kama ni "mkakati" kama unavyoeleza, basi mkakati huu utawageukia nyinyi wenyewe.
 
1. Mzungu Huwa Hana Cha Bure, CDM wakifanikiwa kupata KATIBA mpya Kwa shinikizo Kutoka nje na kushika Dola Kwa mfano, watatoa nini kama Asante? Au mikataba Gani ya awali wameshasainishana?
CHADEMA ikionekana/bainika kuwa imelala kitanda kimoja na hawa jamaa na wananchi wakajua, na hasa ikitumiwa na mahasimu wao... "Kazi Kwisha."

Hili la kushirikiana na hao jamaa haliongezi manufaa makubwa kwa chama.
 
Naamini Ukombozi wa Kweli utatoka CCM kupitia chama kipya baada ya kugawana fito.
Akiwemo Dr Mhogo?

Ninakubaliana nawe: CHADEMA wamejiweka kwenye hali ngumu, walipoweka (kama ni kweli) ya kumnasa Samia.
Badala ya kumnasa aliyelengwa, inaonekana ni wao sasa walionaswa.

Hili limewapa CCM muda mzuri wa kujipanga upya, hata kama siyo kwa kumtupilia mbali Samia, au kwa kuunda chombo kingine nje ya CCM
Nilishasema humu JF, CCM yenyewe inajitosheleza sana kwa kuwa na makundi ndani ya chama yenye milengo mbalimbali.
Kundi lolote likijitoa ndani ya chama linapoteza nguvu; kwa hiyo watabanana tu humo humo ndani ya chama hadi waelewane.
 
Asante sana DR Kwa weledi huu.
Hii ni kweli kabisa hii tume ni bomu kwani inajiwejea yaleyale ya uCCM na KATIBA kuchelewa.
Hivi vyama vya upinzani hamlioni hili na sio afya Kwa mustakabali wa KATIBA mpya na Tume huru?!

Huko.kwenye hiyo tume ni viongozi wangapi wa upande wa pili mlioko huko?

Inatakiwa kupingwa Kwa nguvu zote.
Waamshe Dr. Maridhiano yasiwe TAABU.
 
Sasa hivi kila anayekosoa ni sukuma gang ndio maana nasema Chadema ni watu wa hovyo sana. Yani nyie ndio mnajiona chama pekee cha upinzani, nyie ndio pekee wenye akili, mkifanya nyie mpo sahihi na wakifanya wengine ni wasaliti.
Mikono yenu imejaa damu zisizo na hatia zilimwagwa na huyo Mhutu wenu aliyeko kuzimu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
CCMM dude kubwa,

Wanaweza kumtosa sa100 na kuyakana maridhiano.

CDM wakija Kwa wananchi kulalamika, nasi tutawauliza iweje mwende meza ya majadiliano na agenda za madaraka pekee nkasahau kukemea RUSHWA, mfumuko wa Bei nk nk.

CDM wamebanwa kwenye corner. LISSU ameanza kulalama muda haitoshi kupata KATIBA mpya.

Tusubiri, maybe watachomoka.
 
Kwa muda uliosalia, itawabidi wawe mafundi sana wa "kuchomoka". Sasa hivi wamekabwa 'kabali'
 
Kumuumbua Mhutu kuwa ana PhD ya Magumashi ni hatia? Wewe na huyu Mhutu mwenzako mna roho ya kishetani ndiyo maana unamtetea sana naamua kukupuuza tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mpuuze huyo marehemu kabisa usimuongelee endelea na maisha yako, ila kutwa Magufuli hivi mara Magufuli vile mbona Mo mnayesema alitekwa na Magufuli hamuongelei Magufuli anaendelea na mambo yake ila wewe fukara ndio kutwa kumuongelea Magufuli sijui ndio kwa sababu za umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…