voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Kwa lipi analojiaibisha nalo wewe dada?Huyu mzee atulie tu anajiaibisha
Yeye na Mbowe anaesifia CCM iliyokuwa imemuweka jela nani anajiaibisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lipi analojiaibisha nalo wewe dada?Huyu mzee atulie tu anajiaibisha
Mkuu 'Erythro', sijui wewe' lakini mimi nasikiliza kwa makini.
Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi .
Amedai kwamba kuleta Tume ya Haki Jinai katikati ya Mjadala wa Katiba mpya ni mbinu ya kupoteza muda, kwa sababu yote yanayojadiliwa kwenye Tume ya Haki Jinai ni lazima yawemo kwenye Katiba Mpya , sasa badala ya kujaza Matume yote haya kwanini jambo hili lisingeingizwa tu kwenye Katiba mpya?
HaaaHaaa!Hapo kuna hoja, mtoa hoja ana thread kibao humu za kumsasambua! Hapa jadili hoja tuache ujinga.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hebu mweleze mkuu 'Erythro', huenda wewe ukafanikiwa kumfikishia ujumbe huu unaoeleweka kirahisi tu.Rais Samia hana nia ya kuleta katiba mpya. Uhtaji na uharaka wa kupata katiba mpya hauendani na kasi ya kusuasua ya rais Samia ktk suala hili.
Huyo "shujaa mmoja" unayemsema hapa kuna mashaka. Si ajabu ukakuta naye yupo upande huu wa pili alioangukia Daktari wa Mihogo.😂
Kuna Shujaa mmoja kasema ana shida na pesa kalamba za michango na 20% kaenda ila akirudi amaliziwe 24%
Kuna mmoja leta baga men! Yaani kasahau dona ndio limemlea
Rubbish. Huyu bwana ni Padri wa Kanisa Katoliki, alikula nadhiri ya kumtumikia Yesu hadi afe. Kuna wengi huanza lakini wanashindwa FORM 4 au F6 au Seminari Kipalapala. Yeye alifoka hadi PhD Roma bado anamdanganya Mungu. Alipoona bado hapato anachopata akaasi, amazing useja, akawa Raia. Baadaye kapewa kazi nzito na Magufuli ya Balozi kutuwakilisha Watanzania Sweden, sasa na hiyo anaasi. Tutamwelewaje? Na tutamwelewa hadi lini? Huyu akiwa Rais atatuuza kwa Shetani, ndicho pekee alichobakiza.
Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi .
Amedai kwamba kuleta Tume ya Haki Jinai katikati ya Mjadala wa Katiba mpya ni mbinu ya kupoteza muda, kwa sababu yote yanayojadiliwa kwenye Tume ya Haki Jinai ni lazima yawemo kwenye Katiba Mpya , sasa badala ya kujaza Matume yote haya kwanini jambo hili lisingeingizwa tu kwenye Katiba mpya?
Bibi tozo hana nia njema na Tanzania kwao ni Uarabuni akimaliza muda wake anaenda kwao
Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi .
Amedai kwamba kuleta Tume ya Haki Jinai katikati ya Mjadala wa Katiba mpya ni mbinu ya kupoteza muda, kwa sababu yote yanayojadiliwa kwenye Tume ya Haki Jinai ni lazima yawemo kwenye Katiba Mpya , sasa badala ya kujaza Matume yote haya kwanini jambo hili lisingeingizwa tu kwenye Katiba mpya?
Bei ya sukari na kwake siimepanda babaNdio kakumbuka haya sasa hivi. Alipokuwa Canada aliufyata kimya.
Sahani nyeupe haina menyuMihogo imeisha
Anakula pilipili inayomuwashaKama upo kwenye fungate la maridhiano, kamwe uwezi kumuelewa huyu Mzee.
Maana mnataka wote tuwe kwenye kapu moja la kulamba asali.
Hakuna watu wapumbavu kama nyie Sukuma Gang mnaona watu wote nchi hii siyo wazarendo ila nyie masalia ya marehemu dhalim.Hakuna watu wa hovyo kama wanachadema, hawa jamaa wanaamini kwenye uchadema zaidi kuliko upinzani.
Kuna msemo wa kiswahili kwamba " Mchawi mpe mwanao akulelee " siyo kwamba sisi hatuoni "delay tactic" ya Samia , bali hatuoni namna atakavyokwepa mitego ya katiba mpya .Hebu mweleze mkuu 'Erythro', huenda wewe ukafanikiwa kumfikishia ujumbe huu unaoeleweka kirahisi tu.
Mimi nimeambiwa mara kadhaa "nisubiri muda." Sijui hadi lini ndipo nieleweke!
To summarize HOJA Yako ni;Kuna msemo wa kiswahili kwamba " Mchawi mpe mwanao akulelee " siyo kwamba sisi hatuoni "delay tactic" ya Samia , bali hatuoni namna atakavyokwepa mitego ya katiba mpya .
Ni hivi , Samia amezungukwa na watu wasiotaka mabadiliko akiwemo Mizengo Pinda , labda kwa kufichua ni hivi , Pinda si kiongozi tu wa chama na serikali , huyu ndio link ya kitengo ndani ya serikali , yeye na wengine (sitawataja kwa sasa) , ndio wanaoamua mambo mengi sana ya nchi , usione analima mananasi ukamchukukia poa .
Sasa juzi Mama kamteua awe mshauri wake kwenye kilimo , hii maana yake ni kumuengua kwenye kikosi kazi , sijui kama unanielewa , hata Bi Mkubwa si kwamba anaitaka Katiba mpya bali kuna shinikizo kubwa kutoka kwa watoa hela , na kimsingi yeye kama yeye hana ujanja , bali hawa wahafidhina ambao hawajali shida za nchi , wao kwao hata wananchi wakiteseka ili mradi ccm ikiwa madarakani kwao haina shida .
Sisi mchezo wote tunaujua (Kumbuka kwamba Lissu alikuwa nje kwa matibabu , lakini pia bado alikuwa Kiongozi wa Chadema na alifanya kazi za chama , sitaingia kwa undani )
bali kuwepo kwa Lissu Ubelgiji ulikuwa mkakati wa chama chake , angeweza hata kutibiwa USA , Bali aliminya ubelgiji (ifuatilie kwa makini ubelgiji)
Kwa kifupi ni kwamba Chadema siyo Mabwege .
Usinilishe maneno , Aliyesema Watanzania hawataki katiba mpya ni nani ? umewahi kufuatilia maoni ya wananchi kwenye Tume ya warioba , yale waliyoyatoa ni maoni ya wazungu yale ?To summarize HOJA Yako ni;
1. CDM inaitumia ubelgiji na mataifa mengine kuishinikiza Serikali ikubali Katiba mpya.
2. LISSU ana connection na mataifa ya nje kuinfluence masuala ya ndani ya nchi Kwa Nia njema.
3. TANZANIA itapata Katiba mpya Si Kwa Sababu ni takwa la wananchi Kwa kuidai hadharani, Bali Kwa mataifa ya nje kutumika kutusaidia kupata kakiba mpya.
Yote hayo ni mambo MAZURI na ni mikakati mizuri.
Swali kwetu wananchi ni;
1. Mzungu Huwa Hana Cha Bure, CDM wakifanikiwa kupata KATIBA mpya Kwa shinikizo Kutoka nje na kushika Dola Kwa mfano, watatoa nini kama Asante? Au mikataba Gani ya awali wameshasainishana?
2. Kwa uliyoyasema, ni dhahiri CDM ni makupe ya nchi za magharibi na Magu hakukosea kuwaita WASALITI, maana Kuna Siri za Nchi mnawapa wageni, unaliongeleaje Hilo?
3. Unaamini wasioonekana Wala kujulikana watanasa ktk mtego mliowategea, unamjua vzr Putino na siasa za mashariki?
Naamini Ukombozi wa Kweli utatoka CCM kupitia chama kipya baada ya kugawana fito.
Tusubiri.
Nani hakuufyata hata Mzee Makamba alicha kuropokaNdio kakumbuka haya sasa hivi. Alipokuwa Canada aliufyata kimya.
Sasa hivi kila anayekosoa ni sukuma gang ndio maana nasema Chadema ni watu wa hovyo sana. Yani nyie ndio mnajiona chama pekee cha upinzani, nyie ndio pekee wenye akili, mkifanya nyie mpo sahihi na wakifanya wengine ni wasaliti.Hakuna watu wapumbavu kama nyie Sukuma Gang mnaona watu wote nchi hii siyo wazarendo ila nyie masalia ya marehemu dhalim.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app